Huu mjadala niliukuta siku moja kijiweni watu wakibishana. Wewe utasimama upande upi?

Nyaroka

Member
Sep 8, 2014
87
84
Ni nchi gani hapa ulimwenguni inaongoza kwa utoaji wa seasons/series kali kuliko nchi nyingine?
Je, nchi hiyo ni _______. ?
1. MAREKANI
2. INDIA
3. CHINA
4. UTURUKI
5. KOREA
6. UFILIPINO
7. TAIWAN
 
Ondoa korea ndo uwaweke hao wengine ili wawe na haki ya kushindana. Korea ni mkali wa wakati wote
Cc. Jumong
Cc. Hong Gilidong
Mkuu tangu nimeanza kuangalia series za kituruki mkorea nili mpiga teke ,waturuki wako vizuri kuanzia series za kifalme,kiinterejencia,kijeshi, hata kwenye love story.
 
Kusema kweli kuzipanga hivi hivi tu ni kazi bila kiziwekea category hapo labda kidogo utaweza mfano

- kwa series kali zakijasusi mimi nampa
AMERICA
rejea prison break , 24 hrs

- kwa series kali za love story nampa
MFILIPINO
rejea timeless , it might be you na long wait

- kwa seriea kali za kijeshi na kifalme hapa nampa
Mkorea

Huu ni mtazamo wangu , nakaribisha pia mitazamo ya watu wengine ili tuweze kupata maoni na burudani zaidi.
 
mkuu tafuta black sun ya kikorea alf fikiria tena kujibu
 
Na wewe ukaungana na vijana wakuni na majuha kijiweni wasio na kazi wala uwezo wa fikra pana za kujiongeza waondokane na laana(maagano) za/ya kimasikini kutoka kwenye koo zao ukaenda kubishania uzwazwa?! 🤔🤔🤔

Tutapata katiba mpya kweli?! 🤔😔😔😔
 
Na wewe ukaungana na vijana wakuni na majuha kijiweni wasio na kazi wala uwezo wa fikra pana za kujiongeza waondokane na laana(maagano) za/ya kimasikini kutoka kwenye koo zao ukaenda kubishania uzwazwa?!

Tutapata katiba mpya kweli?!
Wakati unazaliwa wazazi wako walikuwa wanafanya kazi,sasa unafanya kazi na watoto wako watafanya kazi.there is more in life than just working.
Find life but don't forget living
 
Korea waliteka game na ndo walitangaza soko kwa sana ila kwa sasa kuna America na turkey ni hatar
 
Kusema kweli kuzipanga hivi hivi tu ni kazi bila kiziwekea category hapo labda kidogo utaweza mfano

- kwa series kali zakijasusi mimi nampa
AMERICA
rejea prison break , 24 hrs

- kwa series kali za love story nampa
MFILIPINO
rejea timeless , it might be you na long wait

- kwa seriea kali za kijeshi na kifalme hapa nampa
Mkorea

Huu ni mtazamo wangu , nakaribisha pia mitazamo ya watu wengine ili tuweze kupata maoni na burudani zaidi.
Duuuh, mbona umemaliza mjadala mapema hivyo ..😄😄😄
 
Hiko kiniwe ni cha kina mama au kina baba..? Kama kina baba basi acha bandari iuzwe tu
 
Ondoa korea ndo uwaweke hao wengine ili wawe na haki ya kushindana. Korea ni mkali wa wakati wote
Cc. Jumong
Cc. Hong Gilidong
Neno kuntu sana hili mkuu, kwanza mkorea ana taste ya kipekee huwezi kumshindanisha na mtu...ni sawa uulizwe kati ya nanasi na embe lipi tunda tamu
 
Back
Top Bottom