Mwaka 2009 Abdallah Khamis(mchezaji mpya wa simba) alimaliza kidato cha nne na mdogo wangu Nkende Sec kule Tarime mjini.
Kipindi hicho alikuwa anacheza ligi ya wilaya na mkoa kupitia timu ya...
Wakuu
Tangu muziki huu ulipoanza kusikika nchini kutokea huko south Africa.
Sasa imekuwa fashion kila wimbo unaotoka basi jua ni amapiano tu na tumezoea imekuwa kawaida kabisa.!
Mpaka wazee nao...
SIMULIZI; NIFE AU NIENDE GEREZANi
MTUNZI:Alli H
MWANDISHI: Intelligent businessman
SEHEMU YA 01
Ubaridi ulikuwa ukiingia mwilini utadhani nilikuwa nimeingia kwenye...
Nimekuwa nikifuatilia sana Mtangazaji wa TBC Taifa, Manju wa Muziki Masoud Masoud akielezea historia ya Muziki wa Tanzania, anauliza uu wapi Muziki wa Kitanzania kwenye Mizania ya Kimataifa...
Salaam wakuu.
Jana nilikuwa msibani, kuna wimbo niliusikia melody na mashairi yake yalinivutia. Bahati mbaya nimeufuta kimakosa baada ya kurekodi.
Baadhi ya maneno yake ni
'Mwamini Mungu ewe...
Najiulizi huyu mwamba ana trend Africa nzima na nje ya Africa anapagawisha sana watu, mimi nimejaribu kusikiliza nyimbo zake naona hata hazina mvuto kabisa lakini amepanda kuwa ndiye Giant kuliko...
Anaandika KENGE,
Kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa movies hasa izi genre za Action,war based au millitary.Utakubaliana na kenge kwamba zinafanana sana content.Yani storyline inakua hivi...Unakuta...
Sehemu ya 1
Mimi ni mfanyakazi katika taasisi mojawapo iliyopo chini ya wizara ya elimu iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha (Tengeru). Makazi yangu yapo jijini Arusha. Muda mrefu nimekuwa...
Nawapa hi! members wote wa Jf hasa wana "Entertainment", matumaini yangu muwazima wa afya kabisa kwa wale waliokumbwa na matatizo hapa karibuni hasa hasa moto wa eneo la Kariakoo na matatizo...
Yanayoendelea kwenye tasnia ya Musiki Tanzania naona wasanii wanaturudisha miaka 10+ iliyopita. Teams na ushabiki usio na tija unapewa kipaumbele sana balada ya kusongesha mziki kimatafa...
Salaam wanabodi
Aisee katika pitapita za mjini nikakutana na zile Gereji za barabarani. Yaani magari yanapaki beside barabara na fundi gereji wanaendelea na matengenezo kama kawaida.
Sasa mimi...
Habari ya kila movie watu wema kushinda inakera sana wakati mwingine. Maisha hayako hivyo kabisa. Na sometimes unakuta adui anapambania dili lake lifanikishe mara anatokea "mtu mwema" na...
Hivi aina hii ya music maDJ nani kawadanganya kila mtu anaipenda? Mnadhan kila mtu anavutiwa na ujinga wa hizo viral za tiktok?
Nipo sehemu moja hapa naandika kwa uchungu sana sababu DJ toka saa...
RIWAYA: UFUKWE WA MADAGASCAR
Mtunzi: Kelvin Mponda
SEHEMU: 2
Begi langu dogo la mgongoni lenye mifuko mingi yenye vipenyo tofauti ambapo mle ndani pia niliweka nguo
zangu chache muhimu za...
Naona alosto zimezidi. Nimeona nirushe adithi ambayo bado mtunzi anaishusha taratibu. Mara moja kwa wiki. Kumbukeni huyu ni mwandishi mahili wa vitabu kama;Tai kwenye mzoga,Mifupa 206 na Ufukwe wa...
Nimawasalimia wana JF wote.
Leo nimeona niweze kuelezea mambo muhimu sana ya nchi niliyoweza kuyapata miaka ya 90s.
Miaka hiyo nilitokea kumpenda mtoto mmoja wa kike jina lake akiitwa Misoji...
Wiki hii kule Twitter kumekuwa na mjadala mkubwa sana, Moja ya Page ya Twitter ya Kinaijeria imemshutumu Msanii Mkubwa kuwa Nigeria ndio imempa umaarufu kupitia namna anavyokopi Sound ya Miziki...
1. Liberation
2. Serge Palmi
Kama Wewe ni Mpenzi wa Miziki ya Congo DR hasa Bendi yangu pendwa na tukuka ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana na hujazisikiliza hizi Nyimbo Mbili Tamu katika Album...