Hivi nyimbo za Tanzania lyrics zake zipo wapi?

Jbst

JF-Expert Member
Nov 29, 2020
1,924
3,951
Naomba kufahamu naweza kupata wapi lyrics za nyimbo za kibongo hasa hizi za rap.

Nyimbo ya Bagdad ft Climax bibo inaitwa waniwie radhi naweza pata wapi lyrics yake?

Hiyo nyimbo wametumia beat ya been man.
 
Usiwe mgumu kuelewa kiasi hicho,nenda kasechi kama nilivoandika,itafunguka hiyo website then ifungue halafu mtafute huyo baghdad
Sio ugumu kuelewa mkuu,nimeshafanya hivo lakini nyimbo zilizopo African lyrics za baghdad sio miongoni mwa zilizomo hata ukisearch hawamjui bagdad.

Hata application ya african lyrics ninayo kwenye sim mkuu ukiachana na kwenda kui search google ndomna nimekuja kuuliza hapa kwasababu nyimbo nyingi tu hazipo huko unapopasema
 
Ameomba kujuzwa afu anakua m'bishi, watu wengine bhana
Acha ushamba we kenge nn? Kama hujui umekuja hapa kucoment ili iweje?

Unaleta uchawa! Nyie ndo mnafir***ga kwasababu ya kuleta shobo.

Nichouliza kma hujui unajileta hapa kufanya nn Ms3ng3 ww
 
Acha ushamba we kenge nn? Kama hujui umekuja hapa kucoment ili iweje?

Unaleta uchawa! Nyie ndo mnafir***ga kwasababu ya kuleta shobo.

Nichouliza kma hujui unajileta hapa kufanya nn Ms3ng3 ww
We ndo mshamba, we umeomba msaada umesaidiwa vyema kabisa ufanye kitu gani. Hyo Africanlyrics sifkirii kama kuna lyric ya kibongo utataka ukose. Kama nyimbo ina lyrics...we ndo zuzu , silaha yako matusi . Hayo matusi kuna watu tunayafanyaga breakfast, lunch na dinner, zwazwa.
 
Choko ww acha kuleta shobo narudia tena sifiri machoko peleka uchoko wako huko
 
Naomba kufahamu naweza kupata wapi lyrics za nyimbo za kibongo hasa hizi za rap.

Nyimbo ya Bagdad ft Climax bibo inaitwa waniwie radhi naweza pata wapi lyrics yake?

Hiyo nyimbo wametumia beat ya been man.
Hizo nyimbo za zamani kupata lyrics ni ngumu kama Una mtonyo nitafute nikuandalie chapu tu
 
Choko ww acha kuleta shobo narudia tena sifiri machoko peleka uchoko wako huko
Unaupenda sana uchoko inaonekana washakuharibu maana mnaanzaga hivyo mnakuja PM mnataka kukunwa ....ukiendelea naweka screen shot zenu.
 
Back
Top Bottom