Kwanza naunga mkono uwekezaji katika bandari yetu, lakini sio kwa mkataba huu, naomba kasoro zirekebishwe. Niende moja moja kwenye mada.
Nimeangalia na kufuatilia series na movie nyingi za Kimarekani na sasa nafuatilia series inaitwa Lost.
Hakika nathubutu kusema movies na series za Kimarekani ndio bora kabisa duniani. Hawa jamaa wanatumia akili nyingi na ubunifu mkubwa katika kuandaa kazi zao. Story zao ni nzuri na kufikirisha sana.
Hongera sana kwao. Nasi tujitahidi sana kuiga mazuri yao.