Hakuna mwanamuziki wa kawaida tu ambaye anaishi Jijini Kinshasa au ataweza kuishi Kinshasa.
Kwa msiojua Mji wa Kinshasa ni wa gharama za juu mno na ndiyo maana ni Watu matajiri tu (Mapedeshee) na...
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA
IMEANDIKWA NA : NYEMO CHILONGANI
CHANZO : BURE SERIES
SEHEMU YA KWANZA
Matangazo yalikuwa yamebandikwa kila kona ndani ya Jiji la Dar es Salaam yaliyokuwa yakihusu ujio...
1.Taylor swift- huyu anasikilizwa sana duniani na ni mmoja mwenye ma followers wengi ila hakuna hata kazi yake moja naijua wala kuisikiliza
2-Migos-hata sielewi nyimbo wanazoimba trap gani...
Kwa kweli leo baada ya kufungua redio yangu nimekutana na kipindi cha nani zaidi pale Redio One na waliopambanishwa ni Hussein Jumbe na Remy Ongala ambapo nyimbo Tano za Dr Remmy zilipigwa na...
THE MODERN WAR
(Vita ya kisasa)
Sehemu ya.........01
Mtunzi: Saul David
WhatsApp: 0756862047
UTANGULIZI
Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na...
Ndugu zangu habari za kuwapotea? Naam ni mimi Euphoria mwandishi wa Solo king, mniwie radhi kwa kupotea na kuwa kimya kwa muda mrefu zaidi, kipindi kile nilikuwa nikiumwa, nilikuwa nalala kitanani...
Enzi za uhai wake Mzee wetu Kasongo Mpinda Clayton, wakati anaitumikia band ya Marquis du Zaire tarehe 18/6/1982 alitunga wimbo unaoitwa "Angelou".
Na haya ni sehemu tu ya mashairi yake:-...
WACHUJA NAFAKA Tusisubiri Wapotee wote.....ndiyo tuseme waliwahi kutoa Moja ya Albamu kali, Narudia Tena Albam kali kuwahi kutokea Tanzania.
Fatilia Uzi Huu utajua kwanini nakuambia Ilikuwa moja...
Miaka Ile wimbo wao ulibamba sana😊😊
Alicom na Celina_wapambe
Katika pita pita nimesikia uki pigwa
Enzi izo ulikua moto Africa mashariki na kati🌍🌍
Jamaa sijui yupo wap Kwa Sasa...
"Wapambe tusi...
Huu uzi utakua maalum kwaajili ya kutupia nyimbo kali za gospel mwaka 2026.
https://audiomack.com/voiceofpraise603/song/mungu-ni-pendo-remix?share-user-id=216220807
Wakuu humu si tunapenda kucheka?
Basi tujuzane kuhusu movies za vichekesho na sisi tukazitafute tucheke. Ni fresh ukigusia kidogo zinachohusu na kututahadharisha kama kuna sex scenes.
Ngoja...
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!
Kwenye haya maisha kuna wakati huwa ninakaa chini na kusema "Kama sikufa kipindi kile,basi siwezi kufa mpaka Mungu atakaporuhusu"
Nadhani wengi...
Mtoto wa Baba Paroko : SEHEMU YA KWANZA
Erick Amuona Lucia Kwa Mara Ya kwanza
“Amani ya Kristu iwe nawe” “Iwe nawe pia” walikuwa ni Eric na Lucia wakipeana mikono ya amani katikati ya ibada ya...
Ilkua Ni Siku ya alhamis jion,
Katikati ya ugomvi uliosababisha tukawa tumenuniana sana na Mchepuko Wangu wa Siku zote Mama J.
Kuna vitu vya kijinga alijiongelesha mbele yangu tukiwa kitandani...
Fareed Kubanda, broadly known as Fid Q, The Tanzanian Hiphoop artist, activist, and one of the unique Icons of Tanzania in music industry, is probably the most cheered Hip-hop artist in the whole...
Habari wapendwa? Poleni na jukumu zito la ujenzi wa nchi yetu nzuri ya Tanzania. Ama baada ya salamu niende kwenye maada moja kwa moja. Leo nimeona nilete simulizi kumi kali nilizowahi kusoma hapa...
Naam Kwa Mara Nyingine Tena, Hii Ni Kwa Wale Wapenzi Wa Simulizi Mzuri Zenye Kusisimua Kutoka Kwa EDGAR MBOGO Leo Nakuletea Simulizi Mpya Inayokwenda Kwa Jina La (KIFO CHA HAWARA (Mkono Wa Jini)...
Once again tunakutana kwenye mchezo bora huu hapa. Tukapate kumsoma secret agent mmoja ambaye alikuwa assigned kuwa mlinzi wa raisi.
Lakini baadae anagundua kwamba mfumo hauko sawa na yeye ndiye...
Naam Kwa Wale Wapenzi Wa Simulizi Mtumzi Wetu EDGAR MBOGO ametuandalia Kigongo Kingine Hichi Sio Cha Kukikosa Kitakujia Hapa Hapa Jamii Forums,
Kwa Wale Ambao Wamesoma Simulizi Ya (Asali...