John Wick 4 & no time die movie nazisibiri kwa hamu

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Muendelezo wa john wick bado ni moja ya movie nazozipenda sana sio mamilion ya watu wanavutiwa na hii movie.

Kilichonivutia kwenye hii jamaa sio insane wala tributal martial art lakin anapiga kwa akili hesabu kali kama Denzel washngtong kwenye Equalizer Itafute hii utaja nielewa vizuri hata scort adkins akija kibwege anapigwa judo za kutosha tu We acha tu Wick Mzee judo Muulize mack dagasco na wale watalaam wa silati ndugu zake Iko uwais

by the way Mzigo umeshaanza setiwa JOHN WICK 4 Humo wakali wengi Akiwemo donnie yen apo chacha Nayeye Tunasubiri mzigo wake wa ragging Fire alohh JOHN WICK ITAKUWA RELEASED MAY 22 2022 tuombe uzima tu

NO TIME TO DIE

Huu mzigo wa Daniel Craig Kama kawaida James bond Kaweka bond Tenaaa Movie za hii ni mission mikiki all about secret service include CIA ni kama zile za mtalaam tom cruise ila huyu mwamba hata na nusu

Huu mzigo umesitwa na director carry joji Fukunaga.

itakuwa released 30 september 2021

Mizigo ipo mingi ila hii naisubiri kwa Hamu

@MovieloveableView attachment 1883116View attachment 1883117

FB_IMG_16282643592001585.jpg
 
Ile ya 3 ilinishinda sababu ya uongo mwingi(haikua movie Ile ilikua Ni game linachezeshwa tu),hii ya 4 najua itakua na ukuda mwingi sana.
Ngoja tusubiri tuone ila nilipoangalia uongo wa movie ya 3 aisee niliona hawa jamaa wanatuona sisi ni watoto kupitiliza.

Mtu anakula kichapo cha haja, bado akaja kugongwa na gari mara mbili na akapigwa risasi ila akainuka yupo fiti
 
Back
Top Bottom