Hello JF especially wadau wa muziki. Here's my new track; inastahili marks ngapi kati ya hizo kumi?
Elements zipi niziadapt/nizibadili/niziongeze kwenye mix zijazo?
Natumia Fl Studio + Ableton...
Miaka hiyo muziki ambao ulikuwa ukitamba sana bongo ulikuwa ni lingala. enzi za akina kanda bongo man, bozi boziana, diblo dibala, lokassa ya mbongo,akina yondo sister, gatho,madilu system, defao...
Hii Channel imenishika sana. Kila jumatano na jumapili lazima niitizame. Ndiyo Jua kai yangu. Channel gani yako pendwa zaidi ya you tube kwa sasa?
https://youtu.be/WEQOhC-kRAE?si=sDEs7bW1MdsxNJmh
Best Female Lead Action MOVIES
1. The Mother (2023)
2. Jolt (2021)
3. Ava (IV) (2020)
4. Lucy (I) (2014)
5. Anna (II) (2019)
6. Kate (I) (2021)
7. Kite (2014)
8. Lou (I) (2022)
9. Scarlett (2020)...
Leo nime Kumbuka cartoon hizi, moja Ina theme ya Soka.
👉 Nyingine ni action cartoon, kwa upande wangu zote Kali.
Vipi kwako ???
Dragon Ball z
Super strikers
Habarini wapendwa,natumaini mnaendelea vyema.Samahani mimi ni kijana wa miaka 22,naishi Buguruni,Dar es salaam.Nina ujuzi katika kutengezneza beat,mimi sio professional sana ila ninajua na...
Hizi ndizo katuni ambazo unaweza kurudia kuangalia na hazichoshi.
1.vivo 2021
2. Strange magic 2015
3. Ivan the incredible 2012
4. Ice age 3 dawn of dinosaur 2009
Mwaka 2016 ndio mwaka...
Kwenye simu yangu sina mix hata moja ya dj wa kitanzania,sijawahi kupata.
Madj maarufu wa kenya na wakali hawa hapa.
1. Dj Prince
2. Dj Perez
3. Dj Shinsk
4. Dj Layta
Huwezi kukuta mtanzania...
Inaonekana ni 'Clip' ya karibuni ndani ya Onyesho la kimataifa la SAUTI ZA BUSARA, Zanzibar.
TUKIO:
Mtangazaji anamsogolea mkongwe, Mwana-HIPHOP-Mahiri, 'Mweusiiii' Lord Eyez. Huku onyesho likiwa...
NILIKUWA na uwezo mkubwa sana wa kiakili na nilikuwa naongoza darasani kwa kushika nafasi ya kwanza tangu nikiwa darasa la pili shule ya Bronx English Medium Primary School.
Nilikuwa nazijua nchi...
Habari Wakuu, leo nimeona ni vyema nikawashirikisha kidogo kuhusu bendi moja ya zamani kidogo ambayo ilitupatia burudani sana miaka ya 1990 enzi hizo wakati ambao tulikuwa tunaonesha ujuzi wetu wa...
Ever had a great day? Here's what you need for a day out
1. Lemon tree - Fools Garden
2. Talk - Coldplay
3. Amigo- Black Slate
4.Lazy Afternoon - Rebelution
5. Hot hot hot- Bryon Lee and the...
Hizi ndio movie kumi bora za muda wote azichoshi . Japo sijazipanga kwa mtiririko
1. Apocalypto ( jaguar) kuna wahuni walitupiga fix et ni Ronaldinho [emoji1][emoji1]
2.the lord of the rings...
Wanabodi,
Hii ni kwa wapenzi wa muziki, unasikiliza muziki ila kwenye mind, weka maneno haya
Huu ni wimbo wa TIP TOP CONNECTION - BADO TUNAPANDA REVISED LYRICS
Pasco...
Hii redio ni redio ambayo mimi huwa naipenda sana,kuna muda nilikuwa naiskiza hii redio siku nzima.
Ila sasa wana sera yao ambayo huwa siielewi wana maana gani,sijui tuseme ndo wamekubali kuaga...