Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mambo vipi? Mara ya mwisho kupata taarifa za huyu Rapper ni kuwa alikuwa mgonjwa. Sijapata taarifa tena juu ya hali yake. Mlioko Kigambonino mtupe taarifa.
3 Reactions
39 Replies
9K Views
Hii ndio historia ya utajiri wake throughout the years. 2026: $1 Trillion 2025: $683 Billion 2024: $400 Billion 2022: $219 Billion 2021: $151 Billion 2020: $74.6 Billion 2018: $19.9 Billion 2016...
14 Reactions
10 Replies
500 Views
Alhaji Amri Athumani, maarufu King Majuto au Mzee Majuto, alikuwa msanii mashuhuri wa filamu kutoka Tanzania aliyezaliwa Tanga, Agosti 1, 1948 na kufariki Dar es Salaam Agosti 8, 2018...
1 Reactions
6 Replies
551 Views
Mwanadada bilionea mfanyabiashara maarufu kaagiza G wagon Brabus na kuletwa na ndege Air Tanzania Cargo. Wengine wengi wanaagizaga kwa njia ya maji meli inachukua miezi mitatu hadi sita lakini...
5 Reactions
21 Replies
915 Views
Ngoma zake hazijapoa huyu jamaa ndio msanii wangu Bora wa singeli mda wote sababu ngoma zake Zina ujumbe sana na ni Kali jamaa kabalikiwa kipaji kikubwa sana na ametokea kukubalika sana na raia...
3 Reactions
25 Replies
666 Views
She's ma favorite artist.. The first time nasikiliza wimbo wake.. Essence I was in awe! It was pure art, in its essence ngoma ya essence ilikuwa essential.. Ni mwanamziki asiyependa Kiki but...
11 Reactions
138 Replies
2K Views
Mwanamama huyu ni maarufu sana huko Instagram. Hufanya biashara ya chakula kwa mafanikio makubwa sana. Pia huamasisha wanawake kufanya mazoezi na Mambo ya maendeleo. Kwakweli ana majumba ya...
15 Reactions
795 Replies
127K Views
Nikawaida kila baada ya muda Billboard huwa wanafanya update ya list yao ya rapa bora. Katika Kuenzi miaka 50 ya Hip Hop wametoa latest list yao ya rapa bora kabisa 50 kuwahi kutokea Here's the...
9 Reactions
179 Replies
14K Views
https://www.facebook.com/share/v/1Bo7rXkEto/
1 Reactions
4 Replies
241 Views
Kuna mchungaji anajiita Rose shaboka. Nadhani Kuna mahubiri yake ya hivi Karibuni amekuwa akihamasisha wanawake waendelee kuwa singo na wala wasiwe na haraka ya kukimbilia ndoa. Ilhali yeye...
14 Reactions
66 Replies
8K Views
Wapendwa wasomaji, leo tunazungumzia jambo linalowakumba mastaa wetu wa hapa Bongo. msanii au mtu maarufu akishapata kajina tu, mara moja anaanza kuiga mastaa wa Marekani ambao wana pesa za...
3 Reactions
12 Replies
514 Views
Yani huyu sijui ni muweke kwenye kikundi gani cha wasichana, dada, mama, watuwazima au wakongwe. Bado naona yupo kwenye ujana tu na vijana. Leo nikitafakari umri wetu na wale waliokuwa mpaka wana...
9 Reactions
116 Replies
11K Views
https://youtu.be/BIVfUcyhhyc?si=FtHM6LkHw-_KqhgK
6 Reactions
23 Replies
375 Views
Leo nilipita mitandaoni nikakutana na comment ya mtu mmoja, nadhani ni watoto walioanza kufatilia mpira juzi. Alikuwa anauliza, "Huyu Mzee Leakey ni nani?" Hakuwa anamfahamu. Kilichonivutia si...
10 Reactions
14 Replies
286 Views
Hii video ilivyotengenezwa imeniacha mdomo wazi na wala sichoki kuiangalia, Wanasema kuna vitu ameiba lakini niseme tu kwamba ubunifu uliotumika hapa ni wa kiwango cha hali ya juu sanaa...
15 Reactions
63 Replies
10K Views
Habari wapenzi wa muziki mzuri Aisee anaitwa Chris Brown ni msanii namkubali sana tena. Jamaa alizaliwa katika mji unaitwa Virginia miaka ya 80 mwishoni.Alianza carrier ya muziki tangu akiwa junk...
8 Reactions
41 Replies
7K Views
Kwa wale ndugu zangu wale tuliokuwepo enzi za ujana wetu....club hizi zilivyokuwa zinavumaaa 1.fm club...pale kinondoni..... 2.club billicass....enzi zile germssion party every sunday...saa nane...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Hakika hii ni habari mbaya kwa nchi yetu maana yule celebrity class A ambaye ni role model wa watoto wa kike hapa Bongo ameamua kuchukua uraia wa south africa Ama kwa hakika this is very sad...
1 Reactions
82 Replies
18K Views
Asma majid kwa sasa ndio mrembo namba moja Tanzania, na africa kiujumla. Pamoja na kuwa na elimu ya masters in economics, ambayo aliipatia pale oxford uingereza, havijamzuia kufanya tasnia yake...
9 Reactions
63 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…