Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kweli Mwanadada kaamua kupunguza mwili ...Huo msamba dahhhhhhh
1 Reactions
42 Replies
32K Views
Juzi kati Diamond alimfanyia party ya kufa mtu dada mmoja ivi anafahamika kwa jina la kimwana mwanywele kwenye sherehe yake ya kuzaliwa, hawa watu sijui wana mahusiano gani, maana nilisikiaga kwa...
0 Reactions
53 Replies
12K Views
Star anayefanya vyema bongo movie na kwenye magazeti ya udaku,jackline wolper, amerudi kwenye imani yake ya awali ya kikristo baada ya miezi michache kutangaza kuwa muislamu."Nimeamua kurudia...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Jamani sijui niiweke wapi?: Nini hasa kinaendelea? On 27th February 2008, Benjamin Mengi, brother of IPP Media owner and Chief Executive Officer Reginald Mengi, was arrested by the Moshi police...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Among my favorites from K.Dot
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni Ray C. Nilijaribu kumsikiliza anavyoweza kutoa hoja na ku-tackle maswali ya mtangazaji kwenye media. Ilikuwa ni kwenye kipindi cha Mkasi wiki hii. Kwa kweli nilimkubali anajua kutoa hoja, she...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hebu mcheki Kim Kardashian ambaye ni mchumba wa rapa maarufu, Kanye West, akiwa kwenye bikini, miezi sita tu baada ya kujifungua mtoto wake wa kike aitwaye North West. Kim mwenye umri wa miaka...
1 Reactions
17 Replies
15K Views
Bongo Movies kwa muda sasa wameanikwa kwa maovu ya kusagana. Picha zilizonaswa live baadi ya mastaa hawa wakiwa katika vitendo hivyo zimekuwa nyingi. Amanda ameweza kudhihirisha kuwa sababu kuu...
0 Reactions
22 Replies
12K Views
BAADA ya kudaiwa kufanya ngono katika magari ya Kampuni ya Endless Fame inayoongozwa na Wema Issac Sepetu, Prodyuza, Rashid Mohammed ‘Chid Classic’ amefunguka na kusema chanzo cha yote ni...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Kwa mtizamo wangu hawa bloggers ndio warembo kuliko bloggers wengine wa kike wa Tanzania...Glory be to God for these beautiful pieces of his creation... Shamim mwasha nampa namba moja...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Msanii huyo filamu na muziki kutoka Tanzania Baby Joseph Madaha, ameiambia Global kuwa mwanzoni yeye na Kariuki hawakuwa na uhusiano wa kimapenzi zaidi ya kazi, ila kutokana na watu kuanza...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Mlezi wa Simba, Rahma Al Kharoosi, ametua jijini Dar es Salaam akiwa kwenye ndege kubwa yenye uwezo wa kubeba watu 150, lakini yeye akiwa ndiye abiria pekee ndani ya ndege hiyo. Rahma, maarufu...
1 Reactions
78 Replies
14K Views
Wadau, hivi karibuni Lilian Wasira alizindua album yake pale Land mark ya nyimbo za ukombozi. Album ina nyimbo 6 ambazo ni (i) Kwaheri CCM (ii) wakoloni weusi (iii) Mbeleko gani (iv) Mpo wapi leo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Powerful athlete, father, great footballer and underwear fashion designer. This super hawt guy is unstoppable! He's offering a Christmas promo: "I hope you all love my CR7 Underwear collection...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
#1 0 . Shakira #9 . Olivia Wilde #8 . Katy Perry #7 . Tyra Banks #6 . Kelly Clarkson #5 . Kim Kardashian #4 . Pamela Anderson #3 . Taylor Swift #2 . Mila Kunis #1 . Sophia Vergara...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
sanii wa THT, Rachel Haule ameijibu taarifa iliyoandikwa na mitandao ya nchini Kenya kuwa aliwaaibisha wasanii wenzie wa Kigoma All-stars waliokuwa kwenye show mjini Mombasa, Kenya wiki...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Admist the struggle of the Universal Studios team behind 'Fast & Furious 7′ are trying to figure how to finish the movie's production following Paul Walker's tragic death on Nov. 3, a...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Zile taarifa zilizoenea kuhusu fumanizi la Msanii wa bongo fleva, Young dee na nyota wa filamu Elizabeth michael "Lulu" wamebambwa na polisi wakivunja amri ya sita ndani ya gari aina ya hyundai...
0 Reactions
34 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…