Kaanda onesho la peke yake na likafanikiwa.
Kashindansha watoto kucheza ngololo na washindi watatu waliopatikana atawalipia fees miaka yote waliyobakiza shulen ikiwa ni pamoja na kuwahamishia...
Aliyekuwa muwakilishi wa Kenya kwenye shindano la Big Brother Africa The Chase, Huddah Monroe aka Thee Boss Lady amerusha dongo kwa mrembo wa Tanzania Jackie Cliff ambaye alikamatwa na dawa...
Mwaka unaelekea kuisha, tumeona na kushudia na kusikia mengi yaliyotendwa na watu wetu maarufu hapa Tz.
bila kujali itikadi yoyote ile, kidini, kisiasa, rangi, matendo yake katika jamii, anaishi...
Yaelekea mwanadada Jackie alikuwa amejipanga kisawa sawa na alijitoa muhanga na kujua lolote lingeweza kumpata kutokana na kazi aliyo kuwa akifanya ya kubeba sembe. Jackie alijipanga na kuamua...
Maheeda, staa ambaye anasifika kuongoza katika sanaa ya kupiga picha za utupu amewashangaza wengi kwa mara nyingine. Kupitia kwa mtandao, staa huyu wa injili aliamua kusherehekea krismasi kwa...
JAMANI hii imekaa kiudaku zaidi.Eti kati ya hawa wawili nani mkali?je ile zaadi ya woman of the year aliyoshinda dinna ni sawasawa au ndo waandaji kutaka free publicity?yaani kwa kuwa ni mtangazi...
Msanii wa filamu Wastara jana ameungana na wadau mbalimbali wa filamu makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kusoma dua kwaajli ya marehemu mume wake, Juma Kilowoko aliyekuwa maarufu kwa jina...
Kuna Ubishi Umekua Ukiendelea Hapa Mtaani Pia Na Katika Baadhi Ya Media Eti Kati Ya Nyimbo Hizi Ipi Ni Kali Kuliko Zote Ushabiki Tuuweke Pembeni
1.roho Yangu-rich Mavoko
2.my Number One-diamond...
Stori imetolewa hapa>>>
Bakari Kisongo Wa 'Twanga Pepeta' Anaswa Live Katika Tendo La Kulazimisha Mapenzi - bkuHABARI
Ufuska mtupu! Mnenguaji wa kiume wa Bendi ya African Stars Twanga...
MSANII WA TIPTOP CONECTION AKAMATWA NA GUNIA AROBAINI ZA BANGI, SOMA MKASA MZMA HAPA
Msanii anaejulikana kwa jina la deso hivi karibuni amekamatwa na gunia arobaini za bangi na mpaka sasa...
Unategemea kusikia collabo ya Diamond Platnumz, Ali Kiba na Ommy Dimpoz? Kama una ndoto hiyo, basi iondoe kabisa kwasababu kwa mujibu wa Ali Kiba, kuwepo kwa collabo hiyo ni sawa na kudeki...
Kwa miezi takribani miwili super blogger nchini Wiliam J.Malecela "le mutuz" anatangaza suala la kufunga ndoa kubwa kabisa mpaka amefikiria kuchukua uwanja wa taifa. Lakini swali wengi...
Stori Imekusanywa kutoka Hapa>>>DIAMOND NA LULU MICHAEL: UKWELI UMEWEKWA WAZI RASMI!!!
STAA kiwango katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael Lulu amekanusha uvumi uliozagaa mitaani...
Habari!
Mimi hili suala la kifo cha 2pac linanichanganya sana, mbona halipo wazi kama vifo vya kina michael jackson, withney houstone, bob marley na wengine?
Kuna mtu yeyote mwenye taarifa za...
Msanii wa filamu, Wastara Juma amewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuungana naye siku ya tarehe 28 December 2013 saa tatu asubuhi makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kwaajili ya kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.