Diamond na lulu michael: Ukweli umewekwa wazi rasmi!!!

Ibrahim300

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
390
68
Stori Imekusanywa kutoka Hapa>>>DIAMOND NA LULU MICHAEL: UKWELI UMEWEKWA WAZI RASMI!!!

STAA kiwango katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekanusha uvumi uliozagaa mitaani kuhusu kutoka kimapenzi na mbabe wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’.

Imekuwepo minong’ono ya muda mrefu kitaani kuwa, Diamond analilia penzi la Lulu lakini Diamond au Sukari ya Warembo alipoulizwa kuhusu hilo, alisema siyo kwamba analilia tu bali waliwahi kutoka (haijulikani kwenda wapi) naye, madai yaliyotupiliwa mbali na Lulu.

MADAI YA AWALI
Habari zilizotua katika meza ya Risasi Mchanganyiko zinasema kwamba, wawili hao wanafanya kazi za kisanii pamoja (haikuwekwa wazi ni kazi gani kati ya filamu au muziki) lakini tatizo lililopo kati yao ni Diamond kumtaka Lulu.
Chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake, kilifunguka: “Diamond anashindwa kuelewa, tatizo yeye kila mwanamke anataka kutoka naye. Mwenzake anajua yupo kazini, yeye anataka penzi, ndiyo mzozo uliopo kati yao.”

KAZI KWA DIAMOND
Paparazi wetu alimvutia waya Diamond ili kutaka kupata ufafanuzi kwa upande wake, ambapo aliposomewa maelezo yote alicheka sana kisha akasema: “Nililie penzi la Lulu? Acheni hizo... ngoja nikuambie kitu, siyo kulilia, mimi nimeshawahi kutoka naye. Nilitembea naye kishkaji tu kisha kila mmoja akaendelea na yake.

“Hayo mambo yalishapita na sikutaka kuyaongelea lakini kwa sababu naona kama yanakuzwa, ndiyo maana nimeamua kuweka wazi. Kwa sasa tunaheshimiana kama kaka na dada. Kuna ugumu gani mimi kuwa naye wakati nimeshampitia?”
Risasi: Unasema kweli Diamond?
Diamond: Wa asilimia mia moja.

Risasi: Una ushahidi gani?
Diamond: Watu wanaojua hii ishu ni wawili tu; Wema (Sepetu) na Penny (Penniel Mungilwa). Niliwaeleza kwa uwazi kabisa hawa ili tusielewane vibaya. Kama huamini waulize. Hawa ndiyo niliowapa siri hii.
Paparazi wetu alijaribu kuwatafuta Penny na Wema kupitia simu zao za mkononi lakini hawakupokea.

TURUDI KWA LULU SASA
Akizungumza kwa sauti ya kujiamini, Lulu alimshangaa Diamond na kusema kwamba, si kutoka naye tu bali hana hata kazi anayofanya naye pamoja.

“Nawashangaa sana eti mimi nifanye kazi na Diamond, kazi gani sasa wakati mimi na yeye tupo kwenye fani tofauti? Muziki na filamu wapi na wapi? Kifupi hayo madai hayana ukweli wowote na kila mtu yupo na yake,” alisema Lulu na kuongeza:

“Kwanza mimi siwezi kutoka na Diamond... levo zetu ni tofauti kabisa, wala hazilingani. Mimi nilianza kutoka kabla yake, nimeanza kujulikana toka kitambo hicho nina miaka mitano sijui hata kujifuta kamasi vizuri.... hakuna ukweli wowote.”

TUJIKUMBUSHE
Diamond amekuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na mastaa mbalimbali, huku madai hayo yeye mwenyewe akiyakubali, jambo lililosababisha aitwe Sukari ya Warembo.

Mbali na orodha ndefu aliyotoka nayo Diamond, kinachovuta hisia za wengi ni uhusiano wake wa sasa, ambapo haijulikana kama yupo na Penny, Wema au wote kwa wakati mmoja!
 
kwa hiyo muziki hauna uhusiano na filamu? huyu lulu vipi?

btw, kama diamond alitoka nae, basi alibaka!
 
Mimi nlitokaga na Nick Minaj mbona hamzungumzii?? Mnapenda umbea umbea
 
TURUDI KWA LULU SASA
"Kwanza mimi siwezi kutoka na Diamond... levo zetu ni tofauti kabisa, wala hazilingani. Mimi nilianza kutoka kabla yake, nimeanza kujulikana toka kitambo hicho nina miaka mitano sijui hata kujifuta kamasi vizuri.... hakuna ukweli wowote."
Ukombozi wa kweli wa mwanamke utakuwa umetimia pale utakapofika wakati wanasimama kifua mbele huku wakisema "Diamond asibishe, watu kibao wanajua kwamba keshanigegeda sana sema nikamtema baada ya kuona anapenda sana staili za mbwa kachoka wakati mie napendaga stail ya Kilokole."
 
Diamond Anapenda Promo Za Mademu Aliwakupakazia Anatoka Na Avrir Lakini Alipo Hojiwa Avrir Alikana
 
Ye akitaka hata amle hata mama yake ye si rijali banaa

Mara ngapi!,domo alianza kupiga mamaye kabla ya malaya wa mujini. This is true story from neighbours kule tandale.
Wanasema mamake hajtulia kabisa!nasikia kanavulugu kitandani hako...we acha tu.ndio maana mtoto wa nyoka ni nyoka.
 
Back
Top Bottom