Diamond akiwa ndani ya private jet akielekea Mwanza

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
Mpwa haujaleta mshindo nyuma wa uzinduzi wa bebi madaha au bado samahani lkn maana najua ww ndo kontawa wa jukwaa hili....
 

maringeni

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,206
2,000
Walio karibu nae wamshauri apunguze matanuzi awekeze kwa ajili yake na familia. Isijekuwa kama kanumba hakuwa hata na kibanda.biashara.wazazi.ndugu wote hoi kimaisha. 2% ya wasanii ndo hufika uzeeni na fani. Wengine baada ya miaka michache huanza kutembeza bakuli. Mara oo matibabu. Oo naishi kwa taabu nk. Kama yule nzee fulani.
 

McDonaldJr

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
6,392
2,000
najivunia kazi yangu...
hao hao mnaochukia ndio
hao hao mnaotumia picha zangu kutengenezea habari..

Mpwa heshimu kazi yako tatizo lako haujui kujieleza ukijaribu tu unavurunda km hapa mambo ya kuchukiwa yanakuja vp au unataka watu wasi2mie picha za Platnum kisa umepiga ww smtymz punguza undezi uko kwny team kubwa alafu unatoa boko aaarrrgh km vp ongea na bosi wako akutafutie sehemu ufundishwe jinsi ya kutoa statement za celebrity km Daimond,by the way kwny WCB team ww ni camera man au msemaji sitanii nauliza kwl kazi njema mpwa tuekee picha za Mza pia tuone balaa la huko.
 

heaven on desert

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
1,025
0
Walio karibu nae wamshauri apunguze matanuzi awekeze kwa ajili yake na familia. Isijekuwa kama kanumba hakuwa hata na kibanda.biashara.wazazi.ndugu wote hoi kimaisha. 2% ya wasanii ndo hufika uzeeni na fani. Wengine baada ya miaka michache huanza kutembeza bakuli. Mara oo matibabu. Oo naishi kwa taabu nk. Kama yule nzee fulani.

mngejua maisha ya diamond basi tu..sio mtu wa starehe kabisa..pesa yake nying huitumia kuboresha kaz zake..kama hapo kakodi private jet kwa dola 7000 ili awahi show mwanza katumia pesa yake mwenyewe...
pia pesa yake nying huutumia kwa chakula nyumban na mafuta ya gari..zinazobk ana invest sana..na mngejua mirad mikubwa aliyo nayo cjui mgesemaje...time will tell subirin tu ntajionea..
so diamond mtoane kabisa kwenye kund la watumia pesa vibaya..
 

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
7,093
2,000
Hapo ndio tunapoona matumizi mabaya ya fedha.je Show ya mwanza itamlipa kiasi arudishe nauli yake.ama ndo yale yale unatumia dola 10000 huku malipo ya show dola 5000
 

dady1000

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
607
0
Nampa bigup plutnum upo juu na usiependa makuu. Madawa ya kulevya kwako mwiko jipange zaidi watakukubali tu
 

Ponera

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
556
0
najivunia kazi yangu...
hao hao mnaochukia ndio
hao hao mnaotumia picha zangu kutengenezea habari..

ukweli kazi yako siyo mbaya tatizo unajisahau unadhani na wewe ni star wakati ni kapuku, utaanzishaje uzi unakuhusu kwenye jukwaa la celebrities wakat wewe sio, pili mwanaume kujiita kifesi ni dalili za ushoga
 

FYATU

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
5,366
2,000
Duh........sasa mbona umempiku heaven on desert..........utamfukuzisha job aise....au wote mnapigania nafasi ya job ?

Ila kama ni kweli jamaa anafanya show mbili kwa siku moja, siungi na wala sitounga mkono...........namkubali na kumuunga mkono sana jamaa ila anahitaji ushauri wa kitaalamu ili afahamishwe umuhimu wa kupumzika.

Kuna utata juu ya kilichomuua marehemu Bruce lee ila kuna uvumi kuwa kuji overwork ilikuwa sehemu ya sababu....ingawa pia ilisemekana alikuwa anatumia dawa za kustimulate mwili ili aweze kufanya zaidi ya uwezo halisi wa mwili......

Kwa mwenendo huu ni dhahiri Diamond unaweza kuvutika kutumia dawa za aina hii (sio lazima dawa hizo ziwe ni haramu)......yaweza kuwa hata vile tusivyovitafsiri moja kwa moja kama dawa lakini matumizi yake yana malengo ya kukwepa mwili usichoke.

NASISITIZA WASILIANA NA WATAALAMU WA AFYA JUU YA HILI MR ALMASI.

.....................WITH LOVE..........
 

heaven on desert

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
1,025
0
kwa hiyo tusitumie picha za diamond. acha ujingaa we ulikuwa wap kuweka habari. kapige mkwara vilaza wenzako

linaongea nn hili??
wap umezuiwa kutumia hizo picha?
me nimesema naipenda kz yangu coz watu wanaoniponda na kuchukia ndio hao hao wanatumia pic nilozopiga...umezuiwa wapi kuzitumia??
 

heaven on desert

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
1,025
0
ukweli kazi yako siyo mbaya tatizo unajisahau unadhani na wewe ni star wakati ni kapuku, utaanzishaje uzi unakuhusu kwenye jukwaa la celebrities wakat wewe sio, pili mwanaume kujiita kifesi ni dalili za ushoga

hunifham..hufaham maisha yangu..huna haki ya kusema me kapuku..
ushauliza maana ya hilo jina na na ni kwa nn nalitumia?wacha kuongea usichokijua
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom