Ally Kiba afunguka: Siwezi kamwe kufanya Collabo na DIAMOND

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
Unategemea kusikia collabo ya Diamond Platnumz, Ali Kiba na Ommy Dimpoz? Kama una ndoto hiyo, basi iondoe kabisa kwasababu kwa mujibu wa Ali Kiba, kuwepo kwa collabo hiyo ni sawa na kudeki bahari, haiwezekani.
Diamond na Ali Kiba ni paka na panya na kamwe mafahari hawa wawili hawawezi kukaa kwenye zizi moja.​
 
msafwa93

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
4,641
2,000
ally kiba hawez kua na wivu na diamond..
ally kibahana makuu wala hapend sifa za kijinga..

OMMY DIMPOZ hana shukrani,kwenye interview akiambiwa ataje watu anao washukuru kwa kufika hapo alipo anawataja akina DIAMOND, MAN WATER Alafu anawaacha ALLY KIBA na KGT ambao kiuhalisia ndo wamemtoa..
 
MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,341
2,000
Alikiba hakitumi fulstop, ni ujinga kwa legend kama yeye aliyeawika na tangu nikiwa form 5 anakuja kuzidiwa na kitoto kilijoanza juz, this iresonsbility, akubali kuzidiwa na ajifunze toka kwa domo, ndo maisha, aache wivu wa kike
 
jem_the_great

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
293
250
ally kiba hawez kua na wivu na diamond..
ally kibahana makuu wala hapend sifa za kijinga..

OMMY DIMPOZ hana shukrani,kwenye interview akiambiwa ataje watu anao washukuru kwa kufika hapo alipo anawataja akina DIAMOND, MAN WATER Alafu anawaacha ALLY KIBA na KGT ambao kiuhalisia ndo wamemtoa..

Ommy dimpoz n Mpuuzi tu hana akilli...na hii ndo shida ya masikin akipata usahau kila kitu nyuma..Ali anajua mziki sana..
 
Bufa

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
5,971
2,000
Alikiba anakipaji ya kipekee sema media hasa mawingu yanamuua kimuziki same to Belle 9.

Acha story za vijiweni mkiwa mnakunywa viroba, sema clouds inambania kiba mbona hata radio zingine hasikiki? Kuna vipindi vya msikilizaji kurequest nyimbo umesikia watu wakiomba nyimbo za kiba sana lately au clouds wanawaambia watu wasiombe nyimbo za kiba

Kiba kaisha ndo ukweli, endeleeni kumpamba anajua kuimba zaidi ya diamond aendelee kulala hivyo hivyo wenzake wanaongeza majumba mjini
 
Gang Chomba

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
15,059
2,000
Alikiba hakitumi fulstop, ni ujinga kwa legend kama yeye aliyeawika na tangu nikiwa form 5 anakuja kuzidiwa na kitoto kilijoanza juz, this iresonsbility, akubali kuzidiwa na ajifunze toka kwa domo, ndo maisha, aache wivu wa kike

Neno Legend kwako linamaana gani?...sorry
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom