Wastara awaomba mashabiki kuungana naye makaburini Kisutu kwaajili ya dua ya Sajuki siku ya December

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
Msanii wa filamu, Wastara Juma amewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuungana naye siku ya tarehe 28 December 2013 saa tatu asubuhi makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kwaajili ya kufanya dua maalum ya Sajuki

Wastara ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Facebook.“28 Jumamosi kuanzia saa 3 asubuhi naomba mashabiki wangu na wapenzi wa kipenzi changu kipenzi chenu Sajuki tukutane kaburini kisutu kwa ajili ya dua ya pamoja…kwa Dar es salaam lakini dua rasmi ni 2.01.2014 Songea"..aliandika Wastara.
 

theoka

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
374
0
tujitaid kubadil nyendo zetu tukishakufa hata dua sidhan kama zina mantik yoyote
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom