Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,070
- 2,000
Msanii wa filamu Wastara jana ameungana na wadau mbalimbali wa filamu makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kusoma dua kwaajli ya marehemu mume wake, Juma Kilowoko aliyekuwa maarufu kwa jina Sajuki.

Mzee Chiro akiwa na Wastara
Hata hivyo Wastara alisema baada ya shughuli ya leo. dua rasmi ya marehemu Sajuki itafanyikia nyumbani kwao Songea, January 2, 2014.

Wasanii wa filamu na wadau mbalimbali walijumuika.

Wastara na Flora Mvungi

Dua ikisomwa
