Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ok wakumbuka ile siku iliyomuonyesha Kim Kardashian akiwa amevalia suruali iliyombana makalio na kuyaonyesha yote? Sasa gazeti flani Marekani la In Touch Weekly limedai kuwa Kim Kardashian...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuanguka ghafla kwa presha akiwa ‘location' jijini Tanga, Risasi Jumamosi lina habari hii. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan Ni pigo kubwa! Ile ndoa inayodaiwa kukaribia kufungwa kati ya nyota wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray' na Miss Tanga 2006 aliye pia msanii wa...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Diamond na Wimbo wake aliyo mshirikisha Davido Number 1 Remix ni SHIDA huko Nigeria..Washika Number moja kwenye chat za Muziki leo siku ya Valentines Day kwenye Radio inayoitwa BEAT FM 99.9
3 Reactions
49 Replies
8K Views
Kijana ametimiza miaka 34 toka azaliwe. Happy birthday to you. Kijana huyu OSITA IHEMA ambae huwa anaigiza mara nyingi na patina wake Ihinedu Ikedieze (AKI), leo ijumaa anatimiza umri wa miaka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hallo Wana JF. Napenda kutoa RAI ya tahadhari kwa wale wanaomiliki vilongalonga aina ya Smartphones kwa kile wanachohifadhi katika simu zao. Umezuka mtindo hivi sasa,naweza kusema kwa baadhi...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Dumelaa mboma! You all know actor Chinedu Ikedieze's wife is a designer, right? Nneoma Ikedieze is the CEO of Nikiz Collection and unveiled her 2014 collection at Oriental Hall, Lagos on Sunday...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Yes, Ncha Kali na Dina Wamempokea A Baby Boy. Ncha Kali Amethibitisha Hayo Kwenye Account Yake Ya Twitter, Huku Akikiri Yote Aliyoyapenda Yamepoteza Maana Baada Ya Kumuona Kiumbe Chake Hicho. MAY...
0 Reactions
51 Replies
30K Views
Mwanadada huyu wa nyimbo ya 'Man Down' aliweza kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake jana na aliweza kurusha picha kwa mtandao zilimuonyesha msanii huyu akiwa na tabasamu kuu. Hakuna mtu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii wiki Kim Kardashian aliweka picha mpya za mtoto wake Nori West kwa mtandao wake wa Instagram. Picha hio ilikuwa tofauti na zile nyingine huku ikikisiwa kuwa Kim Kardashian amemfanya waxing...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
MAMA wa Miss Tanzania 2006 aliye pia staa wa muvi za Bongo, Wema Sepetu, Mariam Sepetu amesema anamwomba Mungu bintiye huyo amfumanie mpenzi wake asiyemkubali, Mbongo Fleva, Nasibu Abdul...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Hatimaye Agness Gerald au Agness Masogange ameamua kuachia picha za waubani wake ila mumfam na muache kumsumbua. tazama picha hizo hap chini
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Nimefungulia tv Chanel ya East Africa Tv (EATV) nimekutana na Show ya mwanadada Wema Sepetu ila cha kuskitisha kuna nguo flani kavaa yaani inaacha wazi kabisa Chakula cha Watoto (M.a.t.i.t.i) hadi...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Msanii kutoka Kigoma na memba wa kampuni ya Leka Dutigite Linex Sunday Mjeda ameendelea kutoa kilio chake juu ya uzushi ulioenezwa siku kadhaa zilizopita baada ya kupost picha mbalimbali akiwa...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Kwa watu wengi, Huddah Monroe anaonekana kama msichana anayefikiria kula bata tu huku masuala ya msingi katika maisha akiyaweka pembeni. Mwakilishi huyo wa Kenya kwenye Big Brother Afrika...
0 Reactions
39 Replies
18K Views
Salaam. Huyu jamaa ni among ma rappers niliokua nawakubali sana back in days hasa ile ngoma yake ya Wengi Walikuepo. Jamaa alipotea kabisa kwenye tasnia ya mziki and last time iChecked walisema...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
American songstress Nelly Furtado once sang: "Flames to dust, lovers to friends, why do all good things come to an end?" This, according to reliable sources, now rings true for Namibia's...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
On the eve of Valentine’s Day, Stephen Gaeseb opened up about his break-up with Big Brother Africa: The Chase winner Dillish Mathews - and revealed that the couple had already split in December...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Muimbaji wa Lofa, Top C amesema tangu atangaze kutaka kujiondoa kwenye label ya Candy n Candy ya Kenya, ameanza kupokea vitisho kutoka kwa wasanii waliosalia wanaomchimba mkwara asikanyage tena...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom