Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mwanamuziki na mratibu wa matamasha, Miriam Mauki amesema hakuna mwimbaji anayelipwa kama Rose Muhando katika tasnia ya muziki wa injili Tanzania lipokuja suala la kufanya matamasha. Soma Pia...
0 Reactions
0 Replies
485 Views
Tangu kutokea msiba wake sifa lukuki zimekuwa zikitolewa kuhusu maisha na kazi zake ambazo nyingi ni za kweli. Lakini kama tujuavyo hakuna binadamu aliye mkamilifu hivyo ukitaka kumuelezea mtu...
38 Reactions
225 Replies
43K Views
Kila mara nilikuwa namwona mbele huku akipewa Kipaumbele cha Kutukuka kabisa. Nitashukuru sana nikieleimishwa kuhusu Umuhimu wake mkubwa katika tukio zima. Nawasilisha.
4 Reactions
42 Replies
11K Views
Mtangazaji wa Clouds, Milard Ayo sijui anawafanya nini co-presenter wake wa kike. Ukianza na Meena Ally na sasa kwa Frida Amani wanacheka sana sijui kisa nini. Kitu kidogo tu akiongea utakutaa...
13 Reactions
49 Replies
7K Views
Msanii Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz amefunguka kuhusu mambo mbalimbali, kama vile wapi anapata pesa, ukaribu wake na GSM na aliyekuwa Governor wa Mombasa Hassan Joho na kuhusu kutelekezwa...
7 Reactions
39 Replies
8K Views
Ommy Dimpoz ameachia ujumbe baada ya baba yake kutengeneza headlines mitandaoni. Mwishoni mwa video ameeleza wazi baba yake hakumjali hivyo hana sababu ya kumfahamu kama baba ingawa anamheshimu...
7 Reactions
148 Replies
13K Views
Kunako mitaa ya Instagram Wasanii wameweka status tata katika akaunti zao. Harmonize ameweka haya 👇🏾 Huku Kajala akiweka haya 👇🏾
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Naomba kuuliza wake kwa waume humu, kuolewa kunamaanisha mwanamke kujitoa ufahamu na kuhama au kubadili familia na ukoo? Maehemu Shamsa Kombo aliacha usia akazikwe huko mwitongo kwa mume wake...
10 Reactions
254 Replies
21K Views
Nimeshangaa sana wasanii bado wanapeleka burudani kwenye mji wa Mbeya uliojaa binadamu washamba kupindukia. Acheni kupeleka burudani kwa watu wasiostaarabika kama wakati ule mlivyofanya kwa...
27 Reactions
211 Replies
9K Views
Yaani tokea nianze kumsikia na kumfuatilia Yeye kila siku tu utamsikia anafanya ' reference ' kuwa alipokuwa na Mwanaume fulani mara huku na kule hadi najiuliza mpaka hivi sasa ameshawahi kutembea...
6 Reactions
86 Replies
25K Views
Yo! I don’t care what anybody says. Zari is the truth. How old is she now? 39/40/41? She makes 20-some year old girls look like dirt. What red-blooded man wouldn’t want to smash that...let alone...
7 Reactions
59 Replies
6K Views
Rumor has it , kuwa yale mahusiano yaliyokua na tashtiti mjini, kati ya mwanamuziki benpaul na mrembo kutoka kenya , Annerlisa ambaye katokea kwenye familia ya kitajiri , inasemekana mahusiano...
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Msanii maarufu ambaye alitikisa Katika kampeni za CCM akiwa na nyimbo kadhaa za kukinadi chama, ameomba internet kuachiwa ili aweze kuachia wimbo wake mpya. Tulishaiweka CCM madarakani Sasa na...
12 Reactions
63 Replies
7K Views
Salute Jf. Am tell u brother unatumia gari zuri land cruiser V8 lakini series J200 yake yakizamani bro Hilo toleo lilianza kutumika 2007 hadi 2010. Embu jaribu kufanya upgrade basi unaonekana...
4 Reactions
62 Replies
11K Views
Hii iwe fundisho kwa wasanii wote,mmejinasibisha mko upande gani badala ya kuwa neutral basi waombeni kura wanachama wenzenu.
26 Reactions
200 Replies
19K Views
Mwanamitindo wa kimataifa kutoka Ununio amethibitisha ujio wa kituo chake kipya cha redio kitakachoenda kwa jina la Madam FM. Hayo ameyasema leo ktk kipindi cha Bongo movie roundtable pale...
10 Reactions
121 Replies
14K Views
Hello dear. i just think its time to move on, leave Wasafi. Fungua kampuni yako binafsi, Wasanii wawe Free kuja kwako,uwatengenezee nyimbo zao. Awe Diamond,Harmonize au msanii yeyote. Ila...
19 Reactions
105 Replies
12K Views
Wanaita 'star look' right? YES! ”Leo kwenye ustaa simo kisa sina mwonekano!” ~Msodoki. Sikuwahi kuwaza hili, japo hisia tu na kuona kila 'msanii' anahangaikia mwonekano fulani. Iwe ni msanii wa...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Huyu Msanii wanawake wanampendea nini? Naangalia hapa TV-E wanavyo mshangilia yani ukiacha sauti nzito sioni cha ajabu kutoka kwake lakini naona ndio msanii ambaye wanamshangilia sana...
4 Reactions
103 Replies
13K Views
Back
Top Bottom