Hii ndio faida ya kuwagawa mashabiki kwa itikadi, pole sana Zuchu

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,450
12,316
Hii iwe fundisho kwa wasanii wote,mmejinasibisha mko upande gani badala ya kuwa neutral basi waombeni kura wanachama wenzenu.

Screenshot_20201012-095607.png
Screenshot_20201012-095644.png
Screenshot_20201012-095657.png
Screenshot_20201012-095623.png
Screenshot_20201012-095623.png
 
Trust me hao ni fan wa upande wa pili...mim siwez mchukia lets say Kiba kisa ccm...kuna maisha ni personal atajua yeye mwenyew msanii...

Na wasanii sio kama wanpenda...Ukileta kiburi jamaa wanakula sahani moja naww kuptia basata na tcra...Mda msanii anafungiwa Shabiki upo zako geto umelala...tusifanye kama hatuijui hii bongo yetu...

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Trust me hao ni fan wa upande wa pili...mim siwez mchukia lets say Kiba kisa ccm...kuna maisha ni personal atajua yeye mwenyew msanii...

Na wasanii sio kama wanpenda...Ukileta kiburi jamaa wanakula sahani moja naww kuptia basata na tcra...Mda msanii anafungiwa Shakib upo zako geto umelala...tusifanye kama hatuijui hii bongo yetu...

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hajui huyo. Hiko kitu cha kawaida sana kwa mashabiki pinzani kutoa maneno fulanifulani ili kumtungisha kidogo au kumkatisha tamaa mpinzani.

Labda ndio Mara yake ya kwanza kuona kitu kama hicho.
 
Hajui huyo. Hiko kitu cha kawaida sana kwa mashabiki pinzani kutoa maneno fulanifulani ili kumtungisha kidogo au kumkatisha tamaa mpinzani.

Labda ndio Mara yake ya kwanza kuona kitu kama hicho.
Ndio namshangaa... miaka yote awards wanazoshinda hao wasanii si wapo na ccm miaka yote...anataka kusema safar hii ndio wasanii wmekua na ccm? Na hapo mwanzo hawakuwah shinda hizo tuzo? Unajua ukiwa team flan unaeza sahau hata team yako nayo ni ccm hao hao
 
Tatizo wasanii hawa sio mara ya kwanza hii kua ccm na kuwania awards,,unataka kusema Diamond hapo mwanzo alishinda awards zote akiwa chadema?

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Lakini kama ndo hivyo mbona tunalazimishana kupiga kura sababu sisi mbona hatukuwalazimisha wasiende ccm?
Basi na ni chaguo la mtu kupiga kura au kutopiga ama kumpigia nani?

Msanii ni kioo cha jamii kimulike pande zote ..unapochagua kuwa kulia ,kushoto hawawezi kukusapoti

Akale alikomwaga mboga
 
Hatupaswi kuwapigia kura wasanii wa Tanzania wala kwenda kwenye matamasha yao.Ccm wametesa na kuua watu kwa miaka mitano lkn,wasanii wameshindwa kuutumia umaarufu wao vzr matokeo yake wanakubali kuinamishwa na ccm!
Akili hii unayo wewe tu, wenzio wanatofautisha itikadi na burudani

Na mnajazana tu upepo huku mitandaoni in reality wenzio wanakwenda kwenye show za hao wasanii

Watu hawawezi kuacha burudani kwa kuwa wewe ulitumbuliwa vyeti feki
 
Huo ndio ukweli halisi kama wao wameweza kukutumia wewe kwenye maslahi yao ni wazi kua unamsaada wa kuwafanya wao wafikie lengo wanalokusudia.

Sasa inatakiwa ajiulize yeye, katika malengo anayotaka kuyafikia kwanini asitumie encourages power ya kampeni kupata hizo tuzo?
 
Wewe mtoto,wewe mtoto,wewe mtoto....nimekuita mara tatu itika.Kumbuka kupotea kwa Ben Saanane,Azory Gwanda na wengineo.Kumbuka kupigwa risasi kwa Tundu Lissu,kumbuka manyanyaso kwa watumishi wa umma na Wazee wastaafu,kumbuka manyanyaso kwa wakulima na wafanyabiashara.Nafahamu wewe ni mnufaika na uwepo wa ccm so,haupo kwenye kundi lolote kati ya hayo niliyoyataja lkn,Zuchu ameungana na watesi na wauaji wa jamii yake hastahili kutendewa wema hata kidogo!
Nipo moja ya makundi hayo na ni muathirika wa mapungufu ya Magufuli

Tatizo mnachoshawishiana hakiwezekani

Kuna mtu ni chadema lakini upande wa burudani ni team wasafi

Hakuelewi ila hasemi na kura atawapigia na hutajua
 
Tatizo wasanii hawa sio mara ya kwanza hii kua ccm na kuwania awards,,unataka kusema Diamond hapo mwanzo alishinda awards zote akiwa chadema?

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app

Nikusahihishe kidogo lakini baada ya kukubaliana na wewe kuhusu tabia ya watanzania kusahau yaliyopita. Ni bahati mbaya sana kwa hizo kura za Grammy kuhitajika wakati huu kidonda cha ushabiki wa vyama kikiwa kibichi kabisa.
Msanii na wanamichezo kazi yao ni kuunganisha jamii, hivyo ni kazi yao kwa umoja wao kujitenga na siasa zinazoitenga jamii. Hasa siasa kama hizi za sasa.
 
Back
Top Bottom