Millard Ayo anawafanya nini Watangazaji wenzake wa Kike, mbona wanacheka sana?

Mtangazaji wa cloud Milard Ayo sijui anawafanya nini co presenter wake wa kike. Ukianza na Meena Ally na sasa kwa Frida Amani wanacheka sana sijui kisa nini. Kitu kidogo tu akiongea utakutaa wanakamuaa kichekoo mpaka huruma. Mamlaka ziingilie kati.
Ndugu, kama ulikuwa hujui. Huyo dogo Millard Ayo, ni miongoni mwa madogo wenye fedha nyingi hapa bongo, hao mademu wanalijua hilo. Kalaghabaho!
 
20220920_185743.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom