Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Baada ya uvumi kuenea kuwa, ndoa ya muigizaji kiwango bongo, Irene Pancras Uwoya imevunjika, wawili hao walinaswa Live Airport nchini Rwanda wiki iliyopita, ambapo mke huyo wa Ndikumana alienda...
1 Reactions
26 Replies
15K Views
Jamani mimi hii picha nimeipenda, alafu huyu mama kanichapa sana fimbo mkononi dah!!! Gazeti la Mwanchi la Dec 2, 2007 limemkariri Rais Jakaya Kikwete akisema; "Baada ya kupima na kuingia kwenye...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
jamani tujuzeni sisi wala bata.. Inasemekana kuna club moja matata inafunguliwa siku si nyingi maeneo ya usa river. Mwenye kujua atujuze wa mikoani maana hata kuna rafiki yangu wa Mwanza kaniambia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kati ya watoto wakali ninaowakubali apa mujini basi huyu ni nambar One, mtoto mkali utadhani nini, i wish ungeingia bongo movie uwakimbize, maana im sure hakuna ata mmoja atakayegusa level zako.
0 Reactions
168 Replies
23K Views
Tusubiri yatakayojiri humo ndani mi nasubiria lugha atakavyomwagika kingereza.Ni tofauti na nilivyoona Dimond yuko vizuri sana nmemkubali sana tisha Dimond asante kwa kuwakilisha vyema,waliomuona...
1 Reactions
56 Replies
9K Views
Kwa wakazi wa Mkoa wa Mwanza: je, ni kweli Mkuu wa mkoa wa Mwanza Dr. Alex James Msekela(Pia Mbunge wa Tabora Kaskazini), kuwa wamekuwa wakisumbuliwa na nyoka katika nyumba yake. Inadaiwa kuwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Since way back sikuwa napenda kusikiliza Clouds FM kwa sababu ya style yao ya uongeaji hasa Adam Mchomvu, B12 na wengineo, so nikawa a big fun of Choice FM always nawasikiliza, ila kuna watu...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Msanii kutoka Uganda, Jose Chamelleone. Msanii Jose Chameleone wa Uganda amekanusha habari zilizoandikwa mitandaoni kuwa amemuomba Diamond Platnumz kufanya collabo. " Siko katika level ya kuomba...
13 Reactions
148 Replies
26K Views
Binafsi nampenda kweli kulingana na kazi yake anaweza sana kuigiza, pia hana tabia za ajabu.,wakuu nyinyi mnamuuonaje huyu muigizaji wa kike anayejiheshimu.Fungukeni hapa
3 Reactions
22 Replies
10K Views
Tumeshazoea kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao kwenye youtube wanapata views nyingi ndani ya siku chache lakini Good news time hii imeangukia kwa mkali wa Tanzania. Mmiliki...
9 Reactions
29 Replies
7K Views
Hii ni kwa mashabiki wote wa huyu msanii wetu tuje tuungane kwa pamoja ww ni kama shabiki wa mr blue a.k.a baycer karibu kundini
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Wana Jamiiforums habari zenu? Duh! huyu dada wa kwenye tangazo la Airtel Switch ON nampenda sana mnisaidie anaemfahamu zaidi kaolewa au bado yupo hewani? Tafadhali sana nisaidieni wadau...
0 Reactions
102 Replies
20K Views
Hicho kiatu chake laki 9 hivi,na kikuku(cheni ya mguu)kila mguu laki mbili hivi kila mguu.
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Jaman hivi kati ya Ommy Dimpoz na Rich Mavocko nani mkali kwa kuimba na mistari mizuri? Maana tumebishana sana huku kitaa.
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Gossip Cop wa nguvu, Soudy Brown alifanikiwa kamuweka staa mwingine wa Bongofleva, Diamond Platnumz kwenye U Heard. Kutokana na kwamba Diamond hakuwa tayari kuongelea chochote kuhusiana na kile...
8 Reactions
381 Replies
51K Views
Wimbo wa mama ni kweli unapendwa sana tena na kila mtu kwa kuwa tu kila mtu anampenda mama yake hii ndio sababu jamii ikaukubali. Tatizo ni pale unaposema 'mama ulinitoa duniani' unaharibu maana...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Kwenye huu uzi hapa chini kuna ndugu zangu walikomaa kweli wakipingana na hiki alichokisema diamond leo Diamond umethibitisha mwenyewe...
1 Reactions
52 Replies
8K Views
Kutokana na umaarufu alionao Wema, amekuwa akidate na vigogo wenye pesa nyingi, na inasemekana mtu aliemnunulia BMW Wema, naye anahusika katika kuchota pesa za ESCROW. Mwanadada huyu amekuwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Geez Mabovu amefariki katika kipindi ambacho kwa asilimia kubwa alikuwa amepotea kwenye masikio ya wengi. Na mara nyingi sababu za kupotea kwenye masikio ya watu ni kutochezwa kwa nyimbo za msanii...
3 Reactions
26 Replies
10K Views
Aliyasema haya wakati anaongea na XXL ya Clouds fm leo mchana baada ya kuulizwa umefanya nini kusaidia jamii. Amesema yapo mengi ameyafanya lakini hawezi yasema kwani ni kama sadaka....ila kwa...
1 Reactions
50 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…