Jimmy Kabwe na Abby wa Choice FM

the american dream

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
1,761
1,225
Since way back sikuwa napenda kusikiliza Clouds FM kwa sababu ya style yao ya uongeaji hasa Adam Mchomvu, B12 na wengineo, so nikawa a big fun of Choice FM always nawasikiliza, ila kuna watu wawili wanaboa sana kwenye kipindi cha mchana baada ya kipindi cha The fix, I mean Abby na Jimmy kabwe.

They talk about issues it's a good thing lakini mbwembwe, utani, kuigiza uzungu hadi wanaboa kama unasikiliza Choice fm mchana utakuwa umenielewa.
 

theki

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
2,724
1,195
Sasa kwanini unawasikiliza wakati mujini kuna redio kama bilion 306 kama hela za eskrow tutolee shida hapa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom