Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

MTANGAZAJI maarufu wa redio, Gardner G. Habash kwa mara ya kwanza amefichua ukweli wa makubaliano waliyofikia na mwanamuziki maarufu nchini, Judith Wambura ‘Lady Jaydee' ya kutozungumza na...
4 Reactions
59 Replies
13K Views
Vicky kwasasa anakula bata nchini italy bila kujali vikao vya Bunge vinavyoendelea mjini Dodoma
3 Reactions
58 Replies
11K Views
Say no to domestic violence! Jana Msanii Lady Jaydee alipost picha akionesha kidole cha Mtu aliyeumizwa. Leo kapost akisema kuwa kile kidole kwenye picha ni chake. So, captain alikua anatoa...
2 Reactions
111 Replies
16K Views
kuelezea tu jamaa katisha je akirekodi!
3 Reactions
40 Replies
10K Views
Kim Kardashian Break the Internet Assignment Kim Kardashian, Break the Internet, assignment is definitely generating headlines. On the PAPER cover mag , Kim perfect oiled booty and the iconic...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
BAADA ya kula bata za kutosha Bongo, wakati wakisindikizana kimahaba, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz'na mrembo mkali kutoka Uganda, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss...
0 Reactions
47 Replies
16K Views
SIKU chache baada ya mtangazaji Penniel Mungilwa ' VJ Penny ' kupatana na Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu , mwigizaji Kajala Masanja ' Kay' naye ameibuka na kuweka bayana kuwa...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Kupitia ukurasa wa Facebook wa Presenter Loveness Love - Diva amesema East Coast Team wako Studio kwa Marco Chali wakiandaa Wimbo Mpyaaa ====AY pia ====
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Comedian Amooti Faces Arrest After He Smooches Kimansulo Dancer In Club Radio presenter and Comedian risks the ruth of Fr. Lokodo after images leaked of the funny man doing “Porn” things with a...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
IRENE KIWIA ALIVYOIWAKILISHA TANZANIA KWENYE MKUTANO MKUU WA 69 WA UMOJA WA MATAIFA Rais wa Taasisi ya kijamii ya Wanawake wenye Mafanikio Tanzania (Tanzania Women of...
0 Reactions
40 Replies
14K Views
Ni kolabo la mafundi wawili wa muziki Tanzania Mwana Fa na Alli kiba katika hii nyimbo inayoitwa kiboko yangu.Hakika Ng'ombe hazeeki maini na kwa mbali naona heshima ya bongo flavour inarudi kwa...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
ABDALLAH GAMA MPIGA RYTHM MWENYE HISTORIA NDEFU SINA-shaka wale mashabiki wa DDC Mlimani Park Orchestra ‘Sikinde’ Ngoma ya Ukae’ ambao ni vijana wa zamani, watakuwa wanakumbuka mbali kila pale...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Hii imetokea jana katika tamasha maalum la kituo kipya cha kazi cha Gardner E.FM ambapo Gardner alipanda jukwaani kujitambulisha mashabiki waliokuwepo wakamuuliza shemeji Jaydee yuko wapi...
2 Reactions
140 Replies
24K Views
Mimi ni mfuatiliaji wa hii channel ya vijana lakini naona saizi wanatuwekea bongo movies tu kila siku ni bora wange iacha itwe chanel 5 kuliko EATV na wakati hao wakenya na waganda hawana hata...
5 Reactions
62 Replies
9K Views
STAA wa filamu Bongo, Blandina Chagula ' Johari' amesema kwa sasa hataki kabisa kusikia habari za mwigizaji, Chuchu Hans ambaye wamekuwa wakitifuana mara kwa mara wakidaiwa kugombea penzi la...
0 Reactions
170 Replies
21K Views
Ikiwa tunaelekea kuufunga mwaka, sisi kama member wa jamiiforums tunachagua celebrity aliyefanya vizuri kwa mwaka mzima na tutamkabidhi tunzo maalum. Sasa naomba tupendekeze ni nani anafaa kupewa...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu , Hamisa Hassan ‘ Mabeto’ amesema kwa sasa hafikirii suala la kuolewa kwani bado anakula ujana. Akipiga stori na paparazi wetu, Mabeto alisema bado...
1 Reactions
75 Replies
11K Views
Kala Jeremiah: Dear God ilinipa Dili La Kwanza Kimuziki nikadhulumiwa ,Nilionja Matunda Ya Muziki Kupitia wimbo huo Ilimchukua Miaka Nane Kala Jeremiah kuanza kuonja Matunda Ya muziki licha ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Yule Mtanganyika na Mbongofleva aliyeenda na Cocaine Airport huku akiweka kwenye mfuko wa shati ,ameandika huko tweeter kwamba tumuombee ili mungu amsimamie atoke salama. Leo kesi yake ndo...
2 Reactions
65 Replies
9K Views
HAIJAKAA sawasawa! Siku chache baada ya Sitti Abbas Mtemvu ( 25) kujivua taji la Miss Tanzania 2014 kwa madai ya kusakamwa na vyombo vya habari kuhusu umri wake, wadau wamemwangushia uwajibikaji...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom