Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Sijui kama ana familia huyu jamani....!!?
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Msanii anayefanya muziki wa Hip Hop kiharakati zaidi, Roma Mkatoliki kaamua kuwafungukia mastaa wenye tabia ya kuomboleza misiba kupitia account zao za Instagram pekee bila kushiriki msiba. Roma...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
NI kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana hawa madada zetu wa kibongo hasa hasa hawa wanaojiita mastaa na nimegundua kuwa kuna element flani flani za UCHANGUDOA. Watu kama...
0 Reactions
67 Replies
18K Views
Tunasema kuna wasanii wamepinda kama Chris Brown, TI au lilwayne na wengineo ila huyu jamaa odb alikuwa ni kiboko saaana yaani hatari had madaktar walikuwa hawajui jamaa karukwa na akili sababu ya...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
jamani wanajamii wenzang naomba kujua kwa yeyote anayefahamu chanzo cha mgogoro wa Ruge Mtahaba na Joeseph Mbilinyi .ak.a sugu ulianzia wapi na je hauna suruhisho.
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Aisee watu wapo wengi humo halafu uandaaji ulikuwa noma. Watengeneza video za bongo jifunzeni kitu siyo kuweka camera juu ya fito halafu mmemaliza.
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu, Naombeni jibu kati ya hawa wasanii wawili wa maigizo Wema Sepetu na Jackline Wollper ni nani yupo juu ya mwenzake kwenye uigizaji? Naomba tuambiene kwa kila mmoja kwa mtazamo wake ili...
0 Reactions
22 Replies
14K Views
Mwigizaji Mlela anasema anasema tofauti kubwa ya filamu nje yaani Africa, Ulaya na America na zile za bongo ni fedha tu. Wenzetu wanawekeza fedha nyingi kwenye filamu moja tofauti na sisi. Je...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
source: Issa Michuzi blog MY TAKE Hadondoki mtu hapa ni mwendo wa kumdaka akiporomoka ngazi ni adui wa comrade :dance:!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
To me hiz ndio nyimbo Kali mpaka sasa iv 1: usiofie wachanga rama dee 2: forever lady jay dee 3: pacha wangu richmavoko
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Komandoo jide jana alifanya show na kiba Katupia maneno insta kumshukuru kiba Kwa kumpa support despite uoga wa wasanii wengine kutompa support Kwa kuogopa watu flani flani nadhani mnawajua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanini wasanii wetu wa Bongofleva hawawezi kupiga show live, tatizo nini hasa hapa?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Muke ya mzungu aka lucy komba (pichan ) akiwa kaweka pozi matata, pamoja na mtoto wake wa kiume. Ila lucy sio kwa pozi hilo, na ilo jicho vipi tena? Au ndo matunda ya ndoa? By the way tumemis...
0 Reactions
100 Replies
19K Views
Hafsa Kazinja akipozi. MWANAMUZIKI aliyeamua kumgeukia Mungu na kuokoka, Hafsa Kazinja amefunguka kuwa alikuwa akiteswa na mauzauza ya kishirikina pindi alipokuwa katika majukwaa akiimba Bongo...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Jana, Wakati akihojiwa na Mwanadada Shadee kwenye Kipindi cha Clouds E cha Clouds TV, Msanii 'Fundi wa Muziki' kutoka nyumba ya vipaji THT, Barnaba Elias 'Barnaba', pamoja na mambo mengi...
0 Reactions
141 Replies
27K Views
Yaani huyu jamaa sauti anayo,ila bado kama underground tu. Tatizo la huyu jamaa ni nini? C.C matumbo,@Mwuzasura Watu8 nifah atoto
4 Reactions
32 Replies
6K Views
Wakuu, Kuna hawa wasanii wa kike wamekua wakiishi bila ya kuolewa na ikitokea wameolewa basi hawafikishi miezi 6 wanaachwa. mifano ipo kibao hapa bongo kuna huyu Komandoo lady na wengineo ya...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
ACHENI CHIBU AITWE CHIBU, Jamani wadau nimesikia bonge la ngoma hapa kwa Tudy Thomas, Diamond akiwashrkisha hao jamaa,itafuteni mje na mrejesho! Ngoma inaitwa MUZIKI.
1 Reactions
10 Replies
33K Views
Hivi ule uchunguzi wa kama huyo binti alifanya udanganyifu kwenye nyaraka zake uliishia wapi? Ilitangazwa kuwa RITA ingefanya uchunguzi juu ya hizo tuhuma Lakini baada ya hapo sikusikia tena...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Mwanamuziki Lady JD wa bongo flavor amejichagulia jeneza lake la kuzikiwa pindi atakapofariki dunia. Source: Magic fm magazetini.
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Back
Top Bottom