Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Staa wa muziki Alikiba amesema kuwa video shooting ya wimbo wake ‘Chekecha' ambayo imepangwa kufanyika Afrika Kusini, imechelewa kutokana na vurugu dhidi ya raia wa kigeni (Xenophobia)...
1 Reactions
88 Replies
8K Views
MASTAA wa filamu Bongo , Aunt Ezekiel na Kajala Masanja , juzikati walikutana na kutumia muda wa takriban nusu saa (dakika 30 ) kumsengenya aliyekuwa shosti wao , Wema Sepetu . Tukio hilo...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Kwa kuangalia historia ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel ni zaidi ya marafiki ambao walikuwa maswahiba walioshibana kiasi kwamba hakuna mtu anaeweza kujua kama leo watakuwa maadui. Na urafiki huu...
1 Reactions
36 Replies
11K Views
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ameibua maswali kwa mashuhuda walimuona ‘ live ’ akiingia kwenye hekalu la watu wa Jamii ya Siri (Secret Society ) ya Freemasons yenye nguvu...
0 Reactions
42 Replies
33K Views
Watu walikua wakimbeza gavana kwamba hamuwezi mtoto mbichi kama Lara. Lakini yeye aling'aka na kusema anaweza fanya hata zaidi ya kazi vijana wanazo zifanya. Gavana huyu aliyeanza kwa kukimbia...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Madonna got involved in a controversial storm on Instagram on Monday by posting a photo of a Jewish man and a Muslim man going to kiss, subtitling it “This picture is 100″ with a heart...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini limeona picha chafu na zisizo na maadili za Msanii Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole alipokuwa akifanya...
5 Reactions
152 Replies
22K Views
Nimelazimika kuandika uzi huu baada ya kukisikia kibao cha "Kasongo" kikirindima. Nimemkumbuka mtangazaji huyu aliyekuwa mwahiriwa wa RFA kipindi mahsusi kikiwa salamu za milenium (Nyimbo za...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Afande Sele kafunguka kupitia ‪#‎YouHeard‬ ya Power Breakfast Clouds Fm na kusema kuwa wabunge wengi wa Tanzania wanamfuata na kumuomba 'Mmea' wakidhania kuwa yeye bado anavuta...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Nimependa hii idea ya hawa jamaa, kwenye huu wimbo wao mpya Wanabishana kipi ni muhim ktk mapenz ni pesa au mambo ya kupet pet Wanachonifurahisha wanatumia story zao za ukweli wanafanya wimbo...
3 Reactions
32 Replies
9K Views
Lindsay Lohan turns to Islam: Troubled actress carries the Koran as she steps out after court-ordered community service at a children's center Lohan was raised a Catholic, has since spoken...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Aisee huyu jamaa nilikuwa nafutilia historical back ground yake ingawa alikuwa anajiuma uma kwa ku loose confidance dhidi ya ugeni wa kuongea kwenye media. Ila kama ni kweli alichokuwa anakiongea...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
MAFURIKO yanayotokea katika sehemu mbalimbali nchini kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha, yanaizengea nyumba ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platnumz iliyopo Tegeta Madale...
0 Reactions
89 Replies
21K Views
kwa muda mrefu sasa watanzania tumekua tukijiuliza ni nini tatizo la mmomonyoko wa maadili ndani ya jamii ya kitanzania,na serikali imekosa kugundua kwamba ugonjwa uhu unasababishwa na hawa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Baba mzazi wa aliyekuwa mwigizaji mkubwa Bongo , marehemu Steven Kanumba ' The Great ' , Charles Kusekwa Kanumba amefunguka kuwa ili azae , staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Wakuu, Hivi kwanini wasanii wa fani ya mziki na filamu wanapenda sana kujipodoa podoa wanakua kama wasichana? mfano yule mwanamziki maarufu aliyotoka na Mbagala, sasa hivi kawa mweupe kama...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwanadada Siwema ambaye alikuwa na uhusiano na msanii Ney wa Mitego ameonyesha jeuri ya pesa mda mfupi baada ya kuachana na Ney wa mitego baada ya kununu gar mpya aina ya Hyundai CR-V. Hivi...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Mkongwe wa sinema za Kibongo ambaye amekita makazi yake nchini Denmark, Lucy Komba ameweka bayana kuwa katika suala la mapishi anapokuwa nyumbani, huwa wanawekeana zamu ya kupika na mumewe. Lucy...
0 Reactions
82 Replies
15K Views
Wakuu, Nimefanya research ndogo na kugundua kwamba kuna mwanamuziki moja tu anayeishi maisha yasiyo ya maigizo kama wenzake wanaoshinda wakiazima magari,nguo ,simu,viatu. Huyu anaishi maisha...
0 Reactions
165 Replies
20K Views
Back
Top Bottom