Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford ambae hivi majuzi aliweka wazi kuachana na mume wake ambae wamezaanae mtoto mmoja, imebainika kuwa kwasasa yupo kwenye mahusino ya kimapenzi na Staa...
wakuu mfalme ni mfalme tu. huyu jamaa ni noumaaa. jana nilikua pale dar live hatari,king kiba kafanya balaaa kwanza kulia na nyomi ya watu ambayo haijawahi kutokea hapa dar.kawachanganya na...
Wakuu,
Diamond kaingia kwenye taarabu, kaimba wimbo wa NASEMA WAO na Hadija Kopa, ni full taarabu yaani anaimba taarabu? My god! Inayofuata ataanza kuimba Vigodoro na Michiriku.
Hii video...
Ina maana hatuna watu wa kurithi hivi vichwa vya marapa kina ZAY B. SISTA P. RAHA P. NAKAAYA.
Eti wakuu hakuna ata rapa moja wa kike miaka hii, tatizo nini?
Diamond Platnumz ameendelea kuwa na updates kila kukicha na hii ya leo ni baada ya ukuta wa nyumba yake kudondoka, Benki ya CRDB kupitia kitengo chake cha insurance imemkabidhi diamondi hundi ya...
Jamani kuuliza sio ujinga..natafuta umbea hapa siukuti kila siku...hivi Lulu kweli ana mimba? Na kama anayo ni ya nani jaman.
Nb.nampenda sana huyu mtoto jaman nataman angekuwa ndugu yangu..hata...
Mshkaji ndio alikuwa pacha wa Tupac kwenye muziki, they were a match made in the thug-ven. Kuna story mchizi haku-commit suicide kama ilivyoripotiwa, ila 'walimzimisha' tu coz alikuwa na kazi...
Umofia kwenu,
Habari zilizotufikia hivi karibuni ni kwamba Ostazi Juma na Musoma amechoka mbaya. Habari hizi pia zimethibitishwa na PNC, yule msanii aliyempigia magoti Ostazi kumuomba msamaha...
Jisomee mwenyewe madudu ya ndugu yetu. siyo wabongo, bali wamarekani wenyewe.
One BA reader dishes the tea on OKC Thunder player Hasheem Thabeet and his seemingly fairytale relationship with...
Picha hii kutoka kwa Shilole enzi zake zamani kabla hajaanza kazi kwenye kiwanda cha burudani.
Hapo alikuwa anaitwa Zuwena kabla ya majina ya Shilole na Shishi baby hayajaanza kutumika.
Kweli...
Salama!
Awali ya yote na declare interest kuwa hakika uyu Jamaa mimi binafsi namuona ni mfano bora. Ni bora hasa kwa kaya nyingi sana za kiTanzania,ambazo ni watafutaji wao sio waliokuta mali au...
Huyu ndo Ilham original, tajiri wa dini, ukimsikia mwingine fekero. Ina maana pale KKKT Kijitonyama ndo basi tena hatukuoni? Umewaaibisha wenzio ujue? Si ulisemaga umerudi kundini kimoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.