Baada ya kujulikana kwa wengi kuwa hana mtoto na madai ya kutokuwa na uwezo wa kuzaa , mwigizaji wa kitambo Bongo , Blandina William Chagula Johari ameshangaza baada ya siri kuvuja kuwa...
The Tanzanian music superster as he calls himself the Rolls royce musician from East Africa Diamond platnumz has continues prooving that fame and love are seen and not rumored around, Recently...
Mbunifu wa mavazi toka Marekani anaeitwa Roper amelalamika sana kupitia Instagram kwamba Diamond kamuibia design yake... roper anayewavalisha wasanii wakubwa Marekani kama August Alsina, Future...
Mjengo anaoishi mkali wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya Chekecha Cheketua , Ali Saleh Kiba uliopo Kunduchi- Mbezi Beach jijini Dar , unadaiwa kuzua utata mkubwa hivyo kulilazimu kuchimba...
MCHUMBA wa Mbongo Fleva , Nasibu Abdul Diamond , Zarina Hassan Zari amedaiwa kuangua kilio baada ya kuvuja kwa picha yake na mfanyabiashara maarufu jijini Dar, Mzamili Katunzi ambayo...
Watu wanampinga sana ndugu Januay Makamba (majority vijana wale wenye roho za kwa nini)...juzi hapa ndani ya white house January kapiga story na Barack Obama kuliko hata Obama alivyoongea na...
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na staa mwenzake Wema Sepetu baada ya kugombana.
Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni...
Ama kweli kuolewa kunazidi kuwa kama fashion. Mnamo mwaka 2012 Aunt Ezekiel aliolewa
kwa mbwembwe zote na kijana Sunday Del Monte na baadae kwenda kuishia nae huko Dubai.
Sunday wakati huo...
Sexy lady anayefanya poa na ngoma yake ya Leo Leo, Jokate Mwegelo ' Kidoti ' , amemlipua aliyewahi kuwa mwandani wake , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz ' ambaye hivi karibuni alimwita...
wakuu bongo kuna majembe ma 4 tu katika bongo fleva nayo ni K4REAL, JUMA NATURE,JIDE KOMANDOO NA SUGU,haya majembe ni nouma hatari yanajulikana usipimie yaani jamaa ukamua mbaya mbovu jukwaani. je...
Leo kijana wetu mpendwa, kijana anayeipeperusha vyema bendera ya Tanzania katika Tasnia ya muziki katua katika jiji la masamaki yale matamu matamu, Mwanza. Kinachoonekana hapa chini kwenye picha...
Watu wengi ambao wamejikuta wakipata watoto wengi kwa wanawake tofauti, wanatafsiriwa tofauti kwenye jamii. Wengine wanaonekana siyo makini katika suala la kujilinda kwa maana ya matumizi ya...
Wengine tuko mkoa, zimeendaje nimesikia tu watu wanasema Millard, Salim Kikeke, Ladyjdee, Alikiba, Wema wamekinukisha vipi uko ni kweli?
Mwanamuziki wa kiume anaependwa - ALI SALEHE KIBA...
Katika wasanii wote waliopata tuzo, hakuna ata mtu mmoja aliyenyanyua kinywa chake na kuthubutu kulalamika kuhusu tuzo ya lady jaydee , unadhani ni kwa nini lady jaydee anapendwa? Je ana scandal...
Bwana mdogo Huyu alipokuwa anahojiwa na mtangazaji wa BBC na kuulizwa swali kama ameshajua Jinsia ha mtoto kwa kushangaza kabisa alijibu yes tumeshapima DNA na kujua mtoto wa ni wa kike.ushauri...
Bridal shower ilifanyika wiki iliyipita nyumbani kwa Klyn na Mengi…
Mambo ya high tea….
Mambo ya kwa queen hayooo
Mashosti ndo kama hivyo walinogesha...
Huwa nasikia kichefu chefu na kutaka kutapika nikipitia page za hawa jamaa Instagram....Hebu pitieni mpate angalau motivation jamani, lakini onyo nenda na limao usitapike bure....
Jembe ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.