Hayaa sasa anza kupendekeza wasanii wako uwapendao

wazabangah1

JF-Expert Member
Jul 16, 2014
315
114
Ni rahisi mno ingiza number hizo hapoo 👇👇👇 kwenye attachments moja kwa moja iwe miongoni contact zako halafu nenda kwenye watsap yako kisha uandike KTMA HALAFU FUATA MWENDELEZO
ni rahis Sana na uache kulia lia pindi itakapo toka list ya wasanii na ukakuta umpendae kwa kazi zake hayupo nadhani #CHUKUA HATUA
 

Attachments

  • 1427801685632.jpg
    1427801685632.jpg
    26.6 KB · Views: 435
I will vote for
MwanaFa.
FidQ
Ay
Pfunky majani
Adam juma.
Rich mavoko.
Hao tu kwa sasa.
 
I will vote for
MwanaFa.
FidQ
Ay
Pfunky majani
Adam juma.
Rich mavoko.
Hao tu kwa sasa.

Lazima ujipe promo, naona umejiweka namba moja halafu Mshkj wako umemtosa ukamuweka Fid wa pili.

B hits mbona hajawaweka lkn? Majani hana jipya kwa humy B
 
Lazima ujipe promo, naona umejiweka namba moja halafu Mshkj wako umemtosa ukamuweka Fid wa pili.

B hits mbona hajawaweka lkn? Majani hana jipya kwa humy B



Yaani hapo ni bila kufuata ubora katika mtiririko!!

Kwangu wote watapata votes sawa!!

Kuhusu bhits unaweza Wewe kupendekeza tu!!

Nimempendekeza majani kwani ndo producer anayetakiwa kupewa hizo award kila mwaka kwa beats zake Kali hapa Tanganyika!!

Kwani hata Leo tukiweka biti za p Na hao wengine ,basi za p zitakua bora tu!!
 
I will vote for
MwanaFa.
FidQ
Ay
Pfunky majani
Adam juma.
Rich mavoko.
Hao tu kwa sasa.

Before that let us nominate first my brother Deo Corleone and then tutavote ili baadae hao unaowapenda usije wakosa 😁😁😁
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom