Tukiwa tunasubiria kwa hamu kubwa ile collabo bora ya kimataifa kati ya Diamond Platinumz na Neyo, mtoto wa Alicia Keys akiwa ndani ya gari la baba yake ameshindwa kuvumilia na kujikuta...
Leo hii tarehe 02, October Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz aka kichwa cha bongo flavour aka King of Afropop ambaye ni Nembo ya Tanzania, The Legendary himself anasherekea siku yake ya kuzaliwa...
Diamond Platnumz ni mtu mwenye furaha kubwa baada ya producer maarufu wa Marekani, Swizz Beatz kupost video mbili kwenye Instagram zikimuonesha yeye na binti yake, Nicole Dean wakisikiliza nyimbo...
Nimejiuliza sana mpaka nimehamua kulimwaga hapa jamvini, hivi inakuaje msanii anawika na kupambwa sana katika vyombo vya habari hasa magazeti ya udaku udaku udaku, pia hata tuzo anazopata zinaleta...
Diamond platnumz ameendelea kung'aa africa baada ya kutajwa kwenye tuzo za magwiji wa music wa africa nchini Nigeria. Kwenye tuzo hizo za AELA, Diamond ametajwa kuwania vipengele 2.
**Kipengele...
Nimeamini Lowassa ni chaguo la Mungu,yani kila napopita ni Lowassa tu aiseee hakuna nani wala nani wote kafunikaa,ni mtu anaeongozwa kusemwa sana kwenye vyombo vya habari kama tv,magazeti,radio...
Katika miaka yote hakika mwaka 2015 umekuwa wa mafanikio sana kwa Diamond Platnumz kikazi na maisha binafsi.
(1) Princess Tiffah: Hii ni furaha ya Diamond kwa sasa, kwa muda mrefu amekuwa...
Sikutegemea kama kuna siku ningekaa na kufuatilia tamthiliya ya kiswahili ya kibongo tangu kuvunjika Kaole sanaa group,Enzi zile marehem mpendwa wetu kanumba akiwa hajaota kitambi,Ray akiwa...
Kupitia ukurasa wake wa instagram msanii alikiba ameeleza kusikitishwa kwake na vyombo vya habari vya tanzania kutoupa uzito wowote na kutotoa ushirikiano wowote kushiriki kwake kwenye kampeni ya...
Huyu kijana kanifurahisha sana hakusahau alipotoka baada ya kufanikiwa. Kajijenga kwa umri mdogo sana, pesa haijamsumbua kufanya ya walimwengu kwa umri mdogo alionao. Ameweza kuepuka na temptation...
MAMA mkwe wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond ' ambaye pia ni mama mzazi wa mzazi mwenza wa staa huyo , Zarinah Hassan ‘The Boss Lady ', Halima Hassan amempigia chapuo...
Dah! hivi kweli Serikali imekosa majibu ya swali la mh: Mbunge kuhusu mapato ya biashara ya ringtones..!? Kweli sasa naanza kuamini kuwa Serikali Inatukumbatiaga tu kwa Mda mfupi na kututumia...
Mtoto wa Dangote leo anafikisha siku 40 za kuzaliwa..
===========
======
Diamond knows how to brand his products. So tonight on Clouds TV people will take a tour to his house. Whether it...
MOYO huhifadhi mengi mazito hasa ya kuumiza! Staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejikuta akimwaga machozi wakati akianika siri tano nzito kuhusu mapenzi katika mahojiano...
Wabongo bwana kabla ya uchaguzi mada mitandaoni ilikuwa team Kiba na team Diamond mara ikaja boxing kila mtu team Mayweather wengine team Pacqiao pambano likaisha tukarudi tena kwenye team Kiba na...
Diamond ni nooma sana, hakika hakukosewa kuwekwa kama Nembo ya Taifa la Tanzania bado kidogo tu tuanze kumtumia kwenye fedha halali kwa malipo ya Tshs zikiwa na picha yake, mimi nitapendekeza iwe...
huyu binti ni mdogo wake na Hoyce Temu.......mashalaah mtoto huyu kuna kipindi alivuma sana mjini hasa kwa sifa ya shepu na umbo lake matratraa............naomba kujuzwa yupo api siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.