Zimepita ziku chache tangu Ikulu iandae sherehe kubwa iliyoitwa ya Rais kuagana na wasanii, ambapo katika sherehe hiyo wasanii mbalimbali wa filamu na muziki walihudhuria na kuungana na viongozi...
Hii ni TOP 10 kati ya video za wanamuziki wa Afrika 2015 zilizotazamwa zaidi Youtube.. Na kati ya mafanikio anayoweza kujivunia mwanamuziki, ni suala la youtube ambapo inaonyesha;-
+ Ni jinsi...
Diamond Platnumz amepata nafasi nyingine ya
kushirikiana na mastaa mbalimbali wa Afrika
akiwemo Wizkid wa Nigeria, kurekodi wimbo wa
kampeni ya Umoja wa mataifa, United Nations
Global Goals...
Kichwa cha bongo fleva, kinazidi kutuwakilisha vema anga za kimataifa, na hii ni zamu ya MTV EMA ambapo huwa wanachaguliwa wasanii bora watano tu!! wa kwenda kujumuika na wasanii wa marekani...
Wakuu! Mbali na team ya Diamond kuendesha propaganda na uongo wa kila namna katika mchakato wa upigaji kura wa tuzo za Nigeria Entrainment Awards (NEA), kuwa eti Mashabiki wa Diamond wamepiga...
Yule mtangazaji na Dj mahiri wa kike wa kipindi cha XXL kinachorushwa na kituo cha redio ya watu Clouds Fm amekua kimya mda mrefu sana sijamsikia akitangaza, Je ameshasepa hapo mjengoni?
Na kama...
Msanii Ali kiba amenogewa na ccm na kuomba kampeni zifanyike mwaka mzima ambapo jana alikuwa morogoro katika kampeni za kumnadi Magufuli kuonyesha jinsi alivyopania izi show baada ya kukaa na...
Tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oct - 2015, wasanii mbali mbali walijitokeza kuunga aidha UKAWA au CCM. Ni ukweli usiopingia CCM imekusanya kundi kubwa la wasanii...
PENZI ni kikohozi, kulificha huwezi ! Habari ya mjini kwa sasa ni mahaba niue ya muuza nyago kwenye nyimbo za wanamuziki wa Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange ' na staa wa muziki nchini...
MYNER SPARTAN MDADA CELEB WA KIBONGO AMBAYE ANAKIMBIZA KWA UZURI MJINI HAPA NA NI MPENZI WA CELEB MWINGINE WA KIBONGO AITWAYE DULLAH SPARTAN
MUNGU AWAONGOZE KWENYE MAPENZI YAO
Katika hali na kuhuzunisha na kustabisha mashabiki wa kiba wameamua kulilia nomination za MTV Ema kwa kuanzisha tag zao et I nomintee kiba wakati kiba video ya chekecha haijawahi pigwa MTV pwilo...
Team wema ikiongozwa na wema sepetu safari hii wame mshika pabaya kiba ni baada ya kumuambia kuwa lazima ashiriki kampeni za ccm na kumpost kuwa Ana muunga mkono magufuli la sivyo hawampigi kura...
Kwa Africa ni nadra Sana kukuta msanii ana 1m followers hadi sasa ni wasanii watatu tu ndo wenywe followers 1m Instagram ambao ni Diamond, Davido na Wiz Kid
Msanii wa hip hop kutoka Detroit Bryon Cox alias Dex Osama 26 usiku wa kuamkia Jana aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye ukumbi wa wadada wanaocheza uchi(strip club) Crazy Horse.
Dex Osama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.