Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mimi kila nikitaka kusikiliza nyimbo za zamani za bongofleva nasikiliza kile kizazi kilichotamba miaka ya 2000 hadi 2003 hivi, kwa upande wangu ndo naamini kulikuwa na ngoma kali sana, sijui nipo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Dada Aunti Ezekiel, Jaribu kuangalia mbele, heshimu wakubwa, Mh. Lowassa ni zaidi ya Baba yako, hustahili hata chembe kumtukana binti. Kumbuka hayo matusi hayana muda mrefu, mwisho wake ni...
11 Reactions
28 Replies
6K Views
Wasanii tubaki kuwa wahamasishaji tu kuanzakukashfu viongozi utadhani labda nawewe umekua mwanasiasa au Mgombea itakujakutu Cost baadae'. ‘Huwa najiuliza cjui wanalipwa shiling ngapi maana...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Mwanzo nilimuheshimu sana kutokana ukongwe wake na mashairi yake lakini kwa hili kajivunjia heshima kwa kitendo cha kutoa wimbo kwa minajiri ya kumjibu Roma, Viva Roma Viva! Jamaa kaimba wimbo...
0 Reactions
51 Replies
12K Views
Ni stori ya kisiasa ambayo ilianza kuchukua headlines kwenye mitandao mbalimbali kuhusu wasanii wawili wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Vicent Kigosiaka Ray kuondoka UKAWA na kuhamia chama cha...
1 Reactions
60 Replies
10K Views
2007-12-16 Na Lulu George, PST Tanga Waziri mkuu, Bw. Edward Lowassa, amesema amechoshwa na kupokea barua zinazotumwa ofisini kwake zikihusisha malalamiko ya kuwepo kwa vitendo vya ngono kwenye...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Yule video queen,striper Lira Galore aliyedaiwa kutoka na Drake amevishwa pete ya uchumba na Rick Ross, the boss, jamaa '' kichungu ''cha striper kimemchanganya had kafika bei, ila yule demu...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
The long wait is over as the parents of Princess Tiffah, Diamond and Zari, unveil the first picture of their baby girl. Her mother Zari posed her picture on Instagram with the caption, "This is...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
No.5: Rapper Birdman, mmoja ya members wa YMCMB. Utajiri wake dola Mil. 150. Mwaka 2014 alikuwa nafasi ya nne kwa utajiri wa dola 160! No.4: Rapper 50 Cent yuko namba nne, utajiri wake ni dola...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Leo nimezungumza na waziri mmoja kijana sitomtaja jina maana anajua mi niko chama chake na mimi ni mchangiaji mzuri . Ni kweli wamelipwa million 50 kila mmoja na ilo deal la ushawishi...
5 Reactions
87 Replies
17K Views
Nijuzeni kama kweli Cindy le cour kaachana na bendi ya koffi olomide
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Hizi ni tuzo kubwa sana za Nigeria, na kwa wasanii wa nje ya Nigeria huwa kunakuwepo category moja kwa watano bora zaidi.. Icon of the Nation again and again AFRICAN ARTISTE A non-Nigerian award...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Msanii wa kizazi kipya Mr.Nice amelazwa ktk dispensary ya Frorida mjini kahama...Ndugu jamaa na marafiki tunaomba msaada wenu kwani hata kula anakula kwa mpira na choo pia anatumia mpira..fika...
0 Reactions
78 Replies
19K Views
Akiwa anafanyiwa interview na Blog Moja nchini Nigeria kama Mtangazaji wa Tanzania anaeanza kutambulika nchini humo aliulizwa kama Negative energy zimewahi Muathiri. Diva alijibu, "Negativity...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Joti ni mwigizaji mzuri lakini naona uvaaji wa magauni na mawigi aangalie mandhali,kama hii ya tigo na gauni haipendezi, niliipenda ile akiwa kwenye pulpit anatangaza wakulipee! Lakini hii ya...
6 Reactions
51 Replies
9K Views
ati nauliza wadau yule mchungaji wa tiba kwa kutumia chakula mch Isack Ndodi kafunga biashara ama kabadilisha staili ya kuhudumu.... manake si muoni kwa runing yangu siku hizi!!!:rolleyez:
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Lira Galore(20) kutoka houston kwa sasa ni video vixen,model na actress,ndie stripper aliyeweza kuuteka moyo wa mwana hip-hop kutoka young money,Drake. Kumezuka mtindo wa Ma-strippers wengi sana...
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Kituo cha kwanza cha habari na cha kimataifa chenye makao makuu Atlanta, Marekani CNN Jana kilitua Dar es Salaam kuja kufanaya interview na Mr Icon, Hifadhi ya taifa ya Tanzania DIAMOND PLATINUMZ...
7 Reactions
69 Replies
13K Views
Jamani hivi inakuaje unamugeuza mtoto wako kuwa kitega uchumi? Yaani unawaza mpunga mpaka unamgeuza mwanao kitega uchumi? Au ndio kutafuta umaarufu? Vyombo vya kutetea haki za watoto mkuje...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Habari Great Thinkers, Nimependa kushare na nyie mtazamo wangu kuhusu movies na series za siku hizi toka kwa wazungu. Nimekuwa nikishangazwa sana na movies hizi ambazo kwa ujumla stori yake...
8 Reactions
44 Replies
9K Views
Back
Top Bottom