Dar es salaam imeamia Dallas weekend hii kasoro KIBA

mimikaye

Member
Jun 5, 2013
88
48
Katika pita pita yangu kwenye social media nimeona rundo la mastaa wa tz Marekani nikagundua ni Afrima Awards. .ila nika check nominations nikaona Kiba yuko kwenye category nyingi ..ila sasa chakushangaza Hajaenda Marekani..ila Kuanzia wanjera,Vanessa Ayo B12 wote wamesafiri..
Kuna kitu hatukijui hapa??
 
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
A%20S%20angry.gif
:glasses-nerdy:
King kakosa nauli
 
Tabu pesa na hata wakumsponsa hakupata

Juzi juzi kuna waliomvuta aende kutumbuiza wakala hasara kubwa sana.
 
Naanza kuamini sasa kua hata ile imani ndog nilikua nayo on this kid was a mistake!he's lazy,lacks creativity na zaidi nachukia anavyojaribu kupanda kwa bifu ya kijinga na Diamond!kwa support anayopata hata Mavoko angekua bora zaidi..
 
watu mnachukulia masihara hivi vitu, Kiba anamuogopa sana diamond kwenye tuzo, a geondoka huko mikono mitupu sijui angezugia kitu gani, tusubiri mwakani Ktma ma ex was D na haters was D watapompigia kura kiba, D ni nabii
 
Back
Top Bottom