Confirmed: Huu ndio ukweli sababu ya Ray kigosi na Aunt Ezekiel kutoka UKAWA

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Leo nimezungumza na waziri mmoja kijana sitomtaja jina maana anajua mi niko chama chake na mimi ni mchangiaji mzuri .

Ni kweli wamelipwa million 50 kila mmoja na ilo deal la ushawishi lilifanywa na Wema na Steve.

Lakini hiyo pesa si kujitoa tu Ukawa bali pia ni mkataba wa kuifanyia kampeni ccm pia.Si kutoka tu.

Kampeni zitakuwa kwenye mitandao ya kijamii,kwenye vyombo vya habari na majukwaa huo ndio mkataba ulivyo.

Na chanzo kinasema walivyotajiwa million 50 wala hawakutafakari mara 2 moja kwa moja walikubali maana wanasema sanaa nayo inazingua sasa sio kama alivyokuwa Kanumba walikuwa wanapata pesa na.mwamko ulikuwa mkubwa wa watu kununua kazi zao,sasa hivi watu eti wameacha kununua wanakodi vibandani na kubani.

Chanzo pia kinasema wamejaribu kumshawishi jackline lakin imeshindikana kabisa.

Ni hayo
 
Tukubali ukweli kuwa momentum ya upinzani imepungua baada ya kukaribisha makapi kuongoza jahazi..ile ilikuwa ni gross miscalculations!!
Eti leo tumefikia stage kuwa Upinzani wanapata kigugumizi kutamka neno "fisadi"! Ni dhahiri kuwa 4U Movement wamechukua uskani na kuweka M4C kiti cha abiria. Na hii itaendelea hata ikitokea chadema imeshinda...tutarudi kulekule.
Nawasihi mfanye maamuzi sahihi
 
Hela tutakula lkn kwenye kisanduku ni lowasa.
 
Tukubali ukweli kuwa momentum ya upinzani imepungua baada ya kukaribisha makapi kuongoza jahazi..ile ilikuwa ni gross miscalculations!!
Eti leo tumefikia stage kuwa Upinzani wanapata kigugumizi kutamka neno "fisadi"! Ni dhahiri kuwa 4U Movement wamechukua uskani na kuweka M4C kiti cha abiria. Na hii itaendelea hata ikitokea chadema imeshinda...tutarudi kulekule.
Nawasihi mfanye maamuzi sahihi

Momentum iko pale pale tena imeongezeka na sasa hivi kampeni chini kwa chini
 
Wamekula mtonyo ha ha ha wangemlipa mgombe urais wa UKAWA asigombee tungeumia sana miyon ila hao wanaofanya biasha wala hatunao shida waende tuu unajua kula watatuletea tuu tuitoe serikal iliyopo madarakan na chama chake
 
Wolper ana misimamo aisee ila kwanini wapoteze mabilion ya hela kuonga watu hzo hela wangezielekeza kwenye huduma za kijamii wangepewa ridhaa. Huyo mhongaji hatumii akili Wale wana zero impacts alitoka lipumba na Dr cassava sembuse wao. Watanzania siku hizi hawadaganyiki na cheap politics
 
na tutaendelea kutoa hela kadri tuwezavyo,nyie wavuta bangi shida sana kunya anye kuku,akinya bata.........jiandaeni na hoja ya kuibiwa kura sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom