Msanii Vanessa Mdee (kushoto) akibadilishana mawazo na wafanyakazi mbalimbali wa Shirika la DKT International kabla ya kufungua rasmi Tamasha la Divas Only ambalo lilifanyika jijini Dodoma...
Kwa kweli Mungu anajalia mtu yeyote mradi kujituma na kujipanga kwako haijalishi ulikuwa wapata hela ndogo sana ninachoamini mimi hata kama unalipwa hela ndogo sana na wewe ukawa una malengo...
Msanii mdogo Young Dee amejitumbukiza kwenye utumiaji wa madawa ya kulevya aina ya bhangi na cocaine. Aliyekuwa meneja wake alisikika akimsikitikia Young Dee kwamba amejiingiza kwenye makundi...
Taarifa kutoka mtu wa ndani kabisa wa endless fame zinasema mwanadada mrembo Wema Sepetu katumia zaidi ya bilioni 7 to get her business up and running.Mrembo huyo ambaye ni miss Tz 2006 ambaye...
Msanii Maarufu Africa a.k.a Mutu ya Tuzo Diamond Platnumz yupo mbioni kuachia wimbo wake mpya.
Ndani ya wiki hili au lijalo mwanzoni ataachia wimbo wake mpya ambao ni matumaini yangu ataanza...
wewe dada vitu vyako unauza ghali kuliko kawaida kwa kigezo unalipa kodi? kodi ipi
lakini pia juzi ulipost kwamba watu wajiandae kwa upotevu wa makontena kama walipitisha bila kulipia...
Bruce Lee ni mwigizaji mahiri na mstadi wa Kungfu, ambaye alizindua mtindo wa filamu za Kungfu na kuhimiza mageuzi katika Kungfu duniani . Yeye ni mtu wa kwanza aliyelifanya neno la Kungfu kwenye...
Kampuni ya ndege ya Precision Air kuongeza safari za ndege zake
19 May 2008
By ITV Habari
Kampuni ya ndege ya Precision Air imesema itaongeza safari za ndege zake kutokana kuwepo kwa ndege...
Gwiji la mziki Tanzania na Afrika kwa ujumla amedevelop tabia ambayo sio nzuri kwa mstakabali wa nchi yetu na hasa kwa wasanii wanaochipukia.
Katika kipindi cha mwezi mmoja na kitu msanii huyu...
Hatimaye kiswahili chaitikisa Nigeria tena,sasa mwanadada mrembo Yem Alade kuachia ngoma mpya aliyoimba kwa lugha ambayo hatupendi kuitumia tukitana na binadam mwenye ngozi nyeupi a.k.a...
Hivi maudhui ya kipindi hiki ni ipi?
Maana ni matangazo mwanzo mwisho mpaka najiuliza kulikua na haja gani ya kuwa na watangazaji watatu, nawapa ushauri wa re brand kipindi chao maaa kina...
Siku moja baada ya AFRIMMA kutoa list ya wasanii 15 bora wa Africa, huku Diamond platnumz aking'aa kwa kushika namba 1, akifuatiwa na Wizkid, 3. Olamide na 4. Davido.
Magazine nyingine kubwa...
Wasalaam wana jamvi!
Wengi walikuwa wakijiuliza kwanini King Kiba hakwenda kwenye utoaji wa tunzo huko Nigeria na wengine wakidhani amedharau tunzo hizo!
King kiba kupitia mtandao wa picha...
Source:https://www.youtube.com/watch?v=W27PnUuXR_A
Published on Nov 16, 2015
"La Sape" is a unique movement based in Congo that unites fashion-conscious men who are ready to splurge money they...
AFRIMA wametoa list ya wasanii bora Africa,mtoto wa Mbagala anaetafutwa kama alimasi ameongoza list ya wasanii 15 bora kuwahi kutokea barani Africa.
Bravo mond!!
Mkali wa masauti, Christian Bella amekiri wimbo wake mpya aliomshirikisha Alikiba ''Nagharamia'' haupo kwenye mzunguko mzuri kwenye redio kama ilivyotarajiwa na kwamba ukipewa airtime utakuwa...
Diamond platnum label, wasafi classic imemtoa dogo harmonize na aiyola yake.
Mtu mzima diamond anazidi barikiwa tu kwa kunyanyua madogo kama hawa..
Mtaa wa pili upo kwenye game miaka kibao sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.