Nichukue nafasi hii kumpongeza na mwanaharakati wa kweli aliyetumia nguvu ya mic! kumletea mafanikio mpaka kuingia mjengoni Joseph Haule-Mbunge wa Mikumi! hongera heavy weight!!!
Alifanikiwa...
Joseph Haule a.k.a Professor Jay (amezaliwa tar. 29 Desemba 1975) ni msanii wa muziki wa hip hop laini kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Professor Jay. Katika...
Mida fulani ya alasiri nilikuwa nikisikiliza wimbo wa huyu muimbaji ambaye kwa sasa yuko kifunguni,nilimuwaza sana na nikahisi angekuwepo muda huu huku urain basi angekuwa akitoa upinzan wa...
Kuna wanamuziki wengi wakali sana mf.twenty percent,belle9,quchilla,ben paul nk. waigizaji wakali sana kina bi.star,muhogo mchungu,kina senga na wengine weng yaan huwa hawaonekan kwny tuzo lkn...
Dah Charlie alijua Ana a HIV one year a go .Ame date wanawake kibao . Amesema kafanya mapenzi na wanawake 5000 including Lindsey lohan , Kim kardashian .Hapa ngoma wataicheza
Bongo5 imemtafuta mtu wa karibu kwenye uongozi wa Alikiba kutaka kujua kile ambacho wanahisi msanii wao anafanyiwa na wengi hawavijui.
Mtu huyo ambaye hakutaka jina lake litajwe, alidai kuwa kuna...
Top 10 Wasanii wa Bongofleva matajiri mwaka 2015..
Kama kuna kitu ambacho unaweza kukitofautisha wakati mziki wa bongofleva unaanza hadi leo basi bila shaka ni thamani ya mziki ho kuongezeka mara...
baada ya wema sepetu kuisaidia ccm kupata ushindi,sasa ni zamu yake yeye na mwana fa kupewa ubunge wa viti maalumu
ama kwa hakika magufuli ataweka historia mpya na vijana watafurahi sana maana...
Mastaa wanaofanya poa kunako game ya film bongo, Aunty Ezekiel pamoja na wema sepetu ,hivi karibuni wanadaiwa kupatana baada ya bifu la muda mrefu kutokea hapo nyuma, hata hivyo baadhi ya...
Madai mazito ! Siku chache baada ya kubainika kuwa uwezekano wa mzazi mwenzake na ?kichaa ? wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ?Diamond Platnumz ?, Zarinah Hassan ?Zari The Boss Lady? kurudi Bongo na...
Chibu katika ubora wake!!!
Tuzo alizoshinda ni...
1. Mwimbaji bora wa Afrika
2. Mwimbaji bora wa Afrika Mashariki
3. Wimbo bora Afrika (Nasema Nawe)
Vanessa Mdee amenyakua tuzo ya Best Artist...
MAHASIMU wawili katika anga la mastaa , Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wiki iliyopita walikwepana na kushindwa kusalimiana, licha ya wote kuwa waalikwa katika hafla maalum ya kujipongeza iliyofanyika...
Matokeo ya Tuzo za @KTMA kuanzia Mwaka
2013-2015.
2013-Mwaka wa 20 percent alipata Tuzo 5.
2014-Diamond Platnumz alishinda tuzo saba(7).
2015-Ali Kiba alishinda tuzo 5.
Kwa hiyo inaonekana...
Kiba sikia nikwambie bro kwenye ukweli tutazungumza, ww na diamond wote ni wasanii wazuri ila usijekudanganyika kuambiwa ww ni bora zaidi ya diamond, jamaa kakuacha mbalii sn aseee!
Uliwai...
Ule usiku ulio kuwa Una suburiwa kwa hamu kubwa na wa afrika wote umekaribia nazo ni tunzo za afrima awards zitakazofanyika Lagos, Nigeria jumapili hii ya tarehe 15.11.2015 wasanii watakaoshiriki...
Hawa Jamaa ni kati ya wasanii wakali sana katika tasnia ya vichekesho apa nchini ata original komedi wanakaa .
Wanaubunifu na upangiliaji mzuri wa matukio au vipengele mf. Aisee kama....,cha...
katika hali isiyo ya kawaida wasanii wameendelea kupata walichokuwa wanakitafuta baada ya Emmanuel Mgaya kuungana na Uwoya kuisoma namba.
Masanja aliyedhania Ubunge ni kazi rais kama kufanya...
Mwigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper
ameamua kushare na followers wake wa
Instagram kitu ambacho kimekuwa kikimsikitisha,
kuona wasanii wa bongo wakiwatumia zaidi video
models wa...
Mtoto mzuri Bongo, Wema Isaac Sepetu ameliambia Ijumaa Wikienda kuwa hata kama akizeeka na kuwa kikongwe, bado nyota yake itaendelea kung?aa siku zote wala haitafifia kwani amezaliwa nayo labda...
Hakika mmejionea wenyewe na kutambua ccm inawenyewe kazi kubwa mlioifanya mmelamba jike ata yule ndugu yenu uwoya aliyepita tabora kachapwa bakora sasa jikiteni kwenye filamu zenu mfano mzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.