Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hakika mmejionea wenyewe na kutambua ccm inawenyewe kazi kubwa mlioifanya mmelamba jike ata yule ndugu yenu uwoya aliyepita tabora kachapwa bakora sasa jikiteni kwenye filamu zenu mfano mzuri...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Zarinah Hassan a .k .a Mama Tiffah amechukua uamuzi mgumu wa kumvua mwanaye Tiffah ile dawa aliyokuwa amefungwa mkononi ?hirizi?, hali iliyowafanya watu wengi wabaki na vingi viulizo . Mtoto wa...
0 Reactions
36 Replies
10K Views
Ni ukweli usiopingika kwamba umaarufu wake ni kama haufi kweli tangu 2006 mpaka sasa kuwa juu sio mchezo, ana nyota nzuri sana Tatizo naona kama Wema hajautumia ustar wake ukamletea utajiri bado...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
BAADA-ya muigizaji nyota Wema Sepetu kumtusi mpenziwe wa zamani, Nasibu Abdul Diamond Platnumz, kwa kudhihaki zawadi ya bei chee ya gari aliyowahi kumnunulia, rais huyo wa lebo ya Wasafi Classic...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Je, serikali inatambua kazi za hawa ndugu zetu au kuna kitu wanapata/wanatoa katika kazi za hawa ndugu zetu!!?
0 Reactions
25 Replies
11K Views
Wema Sepetu amenunua Range Rover brand new, anasema thamani yake ni mil 200, je ni matunda ya kampeni za CCM maake alifanya initiative ya kumkampenia Makamu wa Rais mama Samiah Suluhu kwa slogan...
0 Reactions
58 Replies
13K Views
Wakuu kwanza natanguliza salamu then najua kwa wale wasomaji wa gazeti namba moja Tanzania kwa habari na uchambuzi makini. MWANAHALISI. nadhani hawa nilio wataja hapo juu si wageni machoni penu...
0 Reactions
31 Replies
19K Views
ULE uchumba wa mwigizaji Jacqueiline Wolper na Mkongo ambao ulipamba vyombo vya habari kwa miezi kadhaa iliyopita, hatimaye umevunjika rasmi huku daktari wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili...
0 Reactions
52 Replies
11K Views
Habari wadau. Wasanii Irene Uwoya na Keisha katika kumbukumbu zangu walikuwa wanasubiri kuingia bungeni kupitia viti maalumu. Majina yametoka lakini hakuna majina yao! Ni nini kimejili? Au kuna...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
MFANYAKAZI wa kampuni inayomilikiwa na Wema Sepetu, Endless Fame, Petit Man Wakuache amenaswa akijiweka karibu na dada wa Ali Kiba, Zabibu Kiba kiasi cha kuzua minong?ono kwamba huenda alikuwa...
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Waliovunjiwa Tabata wapelekewa mchele mbovu *Makamba akiri kuupeleka, asema ni bahati mbaya *Aahidi kuubadilisha, aonya isichukuliwe kisiasa Eben-Ezery Mende na Zamzam Abdul...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
---NI CORAL BEACH HOTEL MASAKI ---WAKAA ZAIDI YA MASAA SITA ---ZITTO AKIRI ,WEMA AKANA Siku chache vaada ya kumwagana na jumbe yussuf;aliedaiwa kuwa ni mpenzi wake;wema sepetu amenaswa na mbunge...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Kama Kichwa cha habari kinavyosema,tangu aongoze Ali Kiba kwenye Tuzo za KTMA yepi Maendeleo take kimuziki na life lake kiujumla kama The Return of The King? PEN-DOWN NOW.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Video Queen Tunda Sabasita hivi karibuni ameweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mwanamuziki David Genze ‘Young D ’ ambapo amesema Mungu akipenda ndoa yao itafungwa soon . Akiongea na Ijumaa...
1 Reactions
56 Replies
27K Views
Huyu jamaa mchambuzi wa mpira wa miguu wa Azam Edo Kumwembe analitumia sana hili neno, kila sentence, THE WAY, THE WAY! Ananiboa sana!
0 Reactions
59 Replies
12K Views
Some years back i was very delighted to see our two players signed for Tp mazembe, Mbwana Samatta and thomas ulimwengu, i saw good omen for Tanzanian footbal,having two players in a big team like...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi! Kwa wale ambao tayari uchaguzi umeshapita na ni mashabiki wa Diamond, MTV Base Africa wametoa nafasi ya kumuuliza Diamond swali lolote kupitia Twitter. Kazi hii itaanza saa 10 (dakika chache...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwisho wa reli? Urafiki wa mastaa wawili wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Yobnesh Yusuf ?Batuli? unadaiwa kupoteza mwelekeo baada ya wawili hao kusemekana hawaivi tena kama ilkivyokuwa huko...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
https://soundcloud.com/see-the-africa-tv/exclusive-interview-diva vs iyanya
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Diamond Platinum amezidi kuonyesha ubora wake si kwa Tanzania tu bali Africa na ulimwengu mzima... Ubora huo unaonekana kwenye tunzo mbali mbali anazozidi kunyakua kadri siku zinavyosonga...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom