Mtanzania aingia fainali ya kuwa balozi wa jet magazine anahitaji kura 5,000 tu tumpigie please!!

e67356ce4849f3ef45669c9e1920e31a.jpg
 
Mbona siku hizi haya mambo ya kupiga kura yamezidi? Kuna nini? Hiyo magazine imeshindwa kumpata mtu hadi kutusumbua kupiga kura? Na huyu mtanzania alishawahi fanya nini cha kugusa maisha ya waTZ wenzake?
 
Huyu si ndio yule msanii wa music ambaye haishi nchini?jina lake limenitoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom