Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,345
baada ya muda mrefu wa kusikilizishwa ngoma za uongo uongo za hip hop,makelele ya vichwa vya habari,vina vya kulazimisha,punch lines za kuunga unga,mistari ya kama kama mia tisa katika verse moja!hatimaye juma mchopanga,ukipenda muite jay moe au mo technic kaamua kuyaokoa masikio yetu toka utumwani kwa kudondosha jiwe moja la adabu!ngoma inaitwa hili game,mkono wa mdutch p funk majani!kwa wapenda vitu vizuri fanyeni kulisaka hilo pin mpate kuyatendea haki masikio yenu