Pongezi zangu za dhati zimfikie Steve Mweusi. Hongera sana na Mola akusaidie

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Huyu ni mfano wa kijana wa kuigwa katika taifa hili la wenye nchi. Ni kijana anayejitutumua katika kutafuta mafanikio, na kamwe si mtu wa kukata tamaa.

Nimeanza kumfuatilia kuanzia 2016, enzi hizo hata jina hana. Videos zake za YouTube zilitizamwa na makumi ya watu lakini hakukata tamaa. Siku baada ya siku alikuwa akija na mbinu tofauti tofauti za kuteka hisia za watu kuanzia kwenye uhusika, uongeaji na uchetuaji. Akaona haitoshi, akaamua kufanya muziki ilihali yeye ni mchekeshaji (comedian)

Kijana kapambana sana. Ni haki yake kula mema ya nchi. Kautafuta umaarufu kwa tabu sana mpaka kufikia hatua hii ya kuliteka bara la Africa (Nigeria), pamoja na jina lake kuzungumziwa nchi za uarabuni na China kutokana na kazi zake kali za (a)Waaah na (b) Kumama Papa

Hatumii nguvu kubwa katika uchekeshaji wake. Hii inaonesha kuwa uchekeshaji ni talanta yake aliyopewa na mama yake

Nihtimishe kwa kusema huyu ndiye The Best Comedian in Tanzania followed by Ndaro. Hao wengine tupa kule.
images.jpg

Hongera sana Steven Moses. Ni haki yako kupata hizo tuzo unazopatiwa
 
Ngoma yake ya Waah! Imemshangaza Rais wa Nigeria. Amepata nafasi ya kuzuru Ikulu ili kula dinner na Rais huyo

Wimbo ni wa Bongo, but unatrend zaidi Nigeria, China na Saudi Arabia
Ndo ule anaoongea maneno yasioeleweka kama analia au alitoa mwengine?
 
Huyu ni mfano wa kijana wa kuigwa katika taifa hili la wenye nchi. Ni kijana anayejitutumua katika kutafuta mafanikio, na kamwe si mtu wa kukata tamaa.

Nimeanza kumfuatilia kuanzia 2016, enzi hizo hata jina hana. Videos zake za YouTube zilitizamwa na makumi ya watu lakini hakukata tamaa. Siku baada ya siku alikuwa akija na mbinu tofauti tofauti za kuteka hisia za watu kuanzia kwenye uhusika, uongeaji na uchetuaji. Akaona haitoshi, akaamua kufanya muziki ilihali yeye ni mchekeshaji (comedian)

Kijana kapambana sana. Ni haki yake kula mema ya nchi. Kautafuta umaarufu kwa tabu sana mpaka kufikia hatua hii ya kuliteka bara la Africa (Nigeria), pamoja na jina lake kuzungumziwa nchi za uarabuni na China kutokana na kazi zake kali za (a)Waaah na (b) Kumama Papa

Hatumii nguvu kubwa katika uchekeshaji wake. Hii inaonesha kuwa uchekeshaji ni talanta yake aliyopewa na mama yake

Nihtimishe kwa kusema huyu ndiye The Best Comedian in Tanzania followed by Ndaro. Hao wengine tupa kule.
View attachment 2755177
Hongera sana Steven Moses. Ni haki yako kupata hizo tuzo unazopatiwa
Nakazia wengine ndo wanafuatia
 
Back
Top Bottom