Msanii Marioo ataka kujinyonga kisa Mimi Mars

kidochi og

Member
May 27, 2020
45
74
Meneja wa msanii Mario amethibitisha Hilo aliokuwa akihojiwa na Millard Ayo.

Amesema msanii wake huyo alitaka kuchukua uamuzi huo baada ya kuona mpenzi wake ambae pia ni msanii wa bongo fleva anaejulikana kwa jina la Mimi Mars kudaiwa kutoka ki mapenzi na msanii Diamond Platnumz

Chanzo cha habari: Millard Ayo
 
Licha tu ya mtu hebu anza kujifikiria unaachaje ugali dagaa, kachumbali,maharage,samaki na juisi kola.. unaachaje hivi vitu unakimbilia kujitia mkamba wa shingo..😅
Imagine! Wali maharage ulivyo mtamu vile, em aache huo ujinga aendelee kutupa burudani mashabiki wake.
 
Back
Top Bottom