The Weekend aweka rekodi Billboard Music Awards 2016

kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
5,069
4,895
Msanii toka Canada The Weeknd alietambulishwa na Drake kwny industry ya mziki ameweka record ya kuwa msanii wa kwanza wa kiume kuzoa tuzo 8 katika tuzo za chat kubwa duniani (BBMAS)
The Weeknd amechukua tuzo izo kupitia categories za
Top sales Artist
Top Radio Song "Can't feel my face"
Top 100 Artist award,
Top Streaming Song "The Hills" Top RnB Artist
Top RnB Song "The Hills"
Top Radio Artist
Top Rnb Album "Beauty Behind The Madness"

Wasanii wengine waliochukua tuzo ni Adele tuzo 5, Drake, Rihanna, Meek Mill, Taylor Swift, One Direction, twenty one pilots, David Gueta. Fetty Wap, Justin Bieber, Wiz Khalifa
1c6bfa2463251c6759c517725197b2a2.jpg
 
Mimi kama mimi sijui kwanini uwa simwelewi sana jamaa, naamin ana uwezo ila naona kama anakuwa overrated sana uyu dogo..
 
Back
Top Bottom