Jokha Kassim

noiselessly hunter

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
3,434
2,000
Huyu dada muimbaji wa muziki wa mwambao kweli ni ameumbika haswaaa. Sijui anafanya kazi na kundi gani kwa sasa
Rangi yake ni ile ya watu wa mashariki ya mbali au wanaita rangi ya mtume. Nywele za kuzaliwa sio za wigi, si mrefu wala mfupi yupo wastani. Kwa kweli mimi namkubali sana.

Sijui kama ni Single or married zaidi tu ni kwamba walizaa mtoto mmoja na mzee yusuph wakaachana.
Wana Jamiiforums mwenye mawasiliano yake ani-pm tafadhali, namzimikia sana, sijui kama mke wa mtu au vipi, au kama yupo humu ani-pm.

Kupenda si ajabu. Mwenye picha yake atuwekee.
 

kichunafk

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
992
500
wala s mzuri wa kawaida sana
joha anajidai jamaani km alivyosema@
kichunafk
angekuwa cute kama marehem mariam sijui kama tungekuwa tunapua au leyla.
Roho inamzizima maana mzee kachukua chuma zaid yake. Hampati kwa lolote anaishia kubwatuka maneno tu
 
Last edited by a moderator:

Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
37,511
2,000
angekuwa cute kama marehem mariam sijui kama tungekuwa tunapua au leyla.
Roho inamzizima maana mzee kachukua chuma zaid yake. Hampati kwa lolote anaishia kubwatuka maneno tu
hata kidogo anatapatapa kweli joha anamtamni mzee hampati tena
leyla mvumilivu sana mi namsifu
 

kichunafk

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
992
500
hata kidogo anatapatapa kweli joha anamtamni mzee hampati tena
leyla mvumilivu sana mi namsifu
hata mie siwezi kuishi na mume kama mzee.
Ila joha roho inamuuma, anamuita mzee baba watoto wake.
Alihojiwa itv, nilijikuta namuonea huruma
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom