Diamond kashusha ngoma mpya? Mwenye nazo atuwekee.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diamond kashusha ngoma mpya? Mwenye nazo atuwekee..

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Jestina, Jul 26, 2011.

 1. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,796
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Nasikia kashusha bonge la pini 'moyo wangu' pamoja na 'nalia na mengi'. Mwenye video zake aweke hapa.

  Keep it up DIAMOND!
   
 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,296
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  diamond hana ladha tena.
   
 3. g

  geophysics JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ngono na usharobaro vimeshusha jina na sifa zake....atachoka siku si nyingi we ngoja utakuta kama mwenzie wema...mitaani.
   
 4. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,664
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  ahhh we hii pini matata acha haters wachonge.. dogo yupo juu!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 145
  good video... imenikumbusha ile Mr. Chocolate flavor
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,220
  Likes Received: 1,626
  Trophy Points: 280
  nice one, ana sauti ya kipekee.
   
 7. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ajipange kimaisha sasa siyo wema tu itakula kwake wengi walishine sana wakaendekeza starehe na anasa sasa hivi tabu tupu so ajifunze kutokana na makosa ya wenzake
   
 8. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,638
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Tena aanzie na Owner wa Long room night Club... Mr Nice...
   
 9. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,130
  Likes Received: 10,456
  Trophy Points: 280
  Wema atamsaidia kuporomoka. Na akishammaliza anarukia kwa mwingine, we diamond unabaki kutoa macho tuuu,mademu wengine wanakuua af kwenye msiba wako hawafiki usifanye mchezo!!!!
   
 10. GABOO

  GABOO Senior Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Moyo wangu iko poa,wana jf wameiweka hapo juu,faidi mwenyewe
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,346
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Huyu dogo kwa tabia zake hizi,muda si mrefu atachemsha.
   
 12. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Songi la nguvu hili...
   
 13. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hivi Q chief nae kaishia wapi? Nafikiri na yeye alikuwa dizaini izi
   
 14. Mvua Ya Kiangaz

  Mvua Ya Kiangaz JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Jamani,mwenzetu ameomba nyimbo,maisha binafsi ya Dimond yanahusu nini???kama ni maisha yake anzisheni thread ya kumshauri,

  Kwa kifupi,bwana mdogo yuko straight up,anafanya maisha na muziki ki ukweli,mi siyo shabiki wake sana,lakini kama jirani yake naamini ana kitu kinachomfanya hata Wema ajibanze kwake,keep it up Bwana mdogo D....
   
 15. data

  data JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 14,682
  Likes Received: 4,282
  Trophy Points: 280
  imesimamaaaaa mbaaayaaa.... safi dogo
   
 16. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo nyimbo kweli dogo amejitahidi sana. Naona pia imetoka safi hiyo video kwa sababu ame-shoot kwenye mazingira halisi ya kibongo....SAFI SANAAAAAA!!
   
 17. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,664
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  word ..
   
 18. screpa

  screpa JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2016
  Joined: Sep 10, 2015
  Messages: 4,472
  Likes Received: 5,399
  Trophy Points: 280
  Haya maneno yaliandikwa 2012 lakini huyo Diamond bado anadunda halafu wewe uliyecomment bado upo kwa shemeji yako Dar
   
 19. Mkaruka

  Mkaruka JF-Expert Member

  #19
  Nov 27, 2016
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 7,757
  Likes Received: 3,662
  Trophy Points: 280
  Hizi tabiri kumbe zimeanza zamani sana humu ndani, mwenetu mpaka anamiliki mijengo kwa MADIBA sisi bado tuko humu tunatabiri jamaa atashuka mara atafulia.

  Dunia hii.
   
 20. u

  ubarinolutu JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2016
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 603
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 80
  Duh ma haters kumbe wameanza kitambo, watakuwa wamezeeka sana sasa
   
Loading...