Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ni mwandishi pekee aliyekwenda kwa hiyari yake mwenyewe kutoa ushahidi kwenye tume ya mwakyembe na amekuwa akisakamwa na mafisadi kila kukicha lakini ametoa maisha yake kwa nchi yake
0 Reactions
145 Replies
18K Views
Hongera dogo.
0 Reactions
54 Replies
7K Views
SHILOLE AKIWA NA STYLIST WAKE MARTIN KADINDA ASHEREKEA DEAL LA FIESTA... AANDIKA HIVI #Fiesta2016 imoooooooooo nishadondosha wino kama msanii wako wa fiesta mwaka huu... nasikia rahaaaaaa with my...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Sitaki mengi mwenye masikio na asikie. na nyingine ni ya huyu mdogo wangu kabisaaa. NB. sitaki kuwa sehemu ya ugomvi ila nataka masikio ya watu wengine yasikie pia halafu watoe maoni yao. nahisi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mr t_touch awali alikuwa akifanya kazi na nay wa mitego katika studio za free nation ila aliamua kuondoka na kuanzisha studio yake inayojulikana Kama 'Touchez soud' Touch ametayarisha asilimia...
1 Reactions
58 Replies
16K Views
Wema Sepetu hatimaye nae amwaga povu kama mama yake kuhusu bifu la mama yake na man fongo.....Wema alimvutia waya Soudy Brown na kutaka asiliongelee hilo bifu la mama yake na man fongo kwa kuwa...
4 Reactions
70 Replies
15K Views
Nimepitia account ya diamond sijaona clip yoyote ya video aliyopost naona picha tu mwenye clip video naomba utuwekee iyo show ya live aliyofanya diamond Malawi
0 Reactions
76 Replies
10K Views
Jamani, hivi Ester Bulaya kaolewa? Mme wake ni nan, yupo wapi na ana kazi gani? Na watoto je? Najaribu kufikiria kwa sauti.
0 Reactions
58 Replies
23K Views
1. Idriss sultan bba ni bonge la comedian sikuwahi kuhudhuria show ya huyu dogo ila kwa dk chache nimejua ni bonge la comedian anaweza kuwa kevin hart w bongo 2. Jamaa (steve) anaigiz kiingereza...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Sina mengi ya kuongea sana wale old school wenzang watakumbuka mengi katika hizi picha. Beef na ugomvi havitasaidia mziki wetu isifike mahali tukajaanza kutengana na kubaguana, tupendane na amani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
CECCYLEYER - Miss Teen Heritage 2016 - Pageant Vote
0 Reactions
1 Replies
710 Views
Kama tunavyo fahamu kwamba Youtube ni Mtandao ambao karibia wasanii na wasio wasanii wote Duniani hu utumia kwa ajili ya kuweka kazi zao ili kuji ingizia kipato kutokana na idadi ya watazamaji...
3 Reactions
169 Replies
16K Views
Kuna kundi A / team haina office, haina sehemu ya mazoezi, wanaazima vifaa vya music bend,hawana wasaidiz katika idara mbali mbali za kazi zao eg. Stylish, videographer au choreographer, kila kitu...
10 Reactions
22 Replies
4K Views
Leo ndio nimegundua hili baada ya Ruge kusema wakati anafanyiwa interview na xxl.alikuwa anamzungumzia Dj D ommy namna alivokwenda clouds "tulimwita kwenye Zali white party japo show ilikuwa ni...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Kama shabiki wa muziki, weka chaguo lako ili tuone ni nani kaibuka kidedea kwenye hili bifu lililoibuka kwa kasi majuzi mara baada ya ngoma za "kajiandae" na "kokoro" kuachiwa.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wakuu heshima kwenu. Kwanza poleni na majukumu hapa kuna mashabiki die hard wa Diamond ambao nawapa credit zao na wamekua wakimtetea sana . Nitataja wachache na ni watu makini sana Chige...
11 Reactions
64 Replies
8K Views
Back
Top Bottom