Renatus Edward
Member
- Aug 2, 2011
- 50
- 55
Dah Mond MAYOTTE wamemuelewa sana,full live band,kila siku anazidi kuimprove, usiku huu atakinukisha Kounguo stadium!,go Simba we ni mozart wa bongo fleva,wengine wote ni wanamziki tena wa kawaida mno!!!
Wakipost wamejipodoa si tuna post show
Wakipost wamejipodoa si tuna post show
Hivi kiba mara ya mwisho lini kupafom ..........??hivi wale watu wanafika mia mbili kweli? halafu ule uwanja mbona kama nyumbani kwa mtu?
Shilole kiuno keshasema aliokuwa anamtuma ni kiba, sasa kaeni tayari kujibu hilo mahakamani.Vijakazi wa mondi this time shughuli mnayo....
Fiesta si ilikuwa juzi tu hapo. Halafu kwa taarifa yako Gavana wa Mombasa anataka kumuandalia show tenaHivi kiba mara ya mwisho lini kupafom ..........??
mombasa na chriss brownHivi kiba mara ya mwisho lini kupafom ..........??
Kwa mwaka huu mpaka sasa yawezekana mond ameshapiga show zaidi ya 20+. Nikumbushe za kiba ni ngapi huu mwaka??? Kumbuka dec. ni tour na neo.... kumbuka akitoka mayotte harudi bongo kwanza..... kiba akajiunge na zile band za wakongo atleast wao hupiga show kila jmos kwenye pub mtaani.hivi wale watu wanafika mia mbili kweli? halafu ule uwanja mbona kama nyumbani kwa mtu?
na wala sio mtaaaaaaaaaajihivi wale watu wanafika mia mbili kweli? halafu ule uwanja mbona kama nyumbani kwa mtu?
Umechoka na nini mzee???Tumechoka jamani...
Huyu simba wenu ana mkia?Dah Mond MAYOTTE wamemuelewa sana,full live band,kila siku anazidi kuimprove, usiku huu atakinukisha Kounguo stadium!,go Simba we ni mozart wa bongo fleva,wengine wote ni wanamziki tena wa kawaida mno!!!