Irene Uwoya aachana na Bongo movie, asema haiuzi tena siku hizi

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058


Msanii Irene Uwoya amesema sasa hivi haigizi tena movie kwa kuwa soko lake limedoda na badala yake atakuwa anacheza series kwani ndio zinazouza
Ila amedai kuna movie walizocheza zamani zinakuwa processed zitatoka
 
Binafsi sijaona movie yoyote ya maana aliyowahi kucheza zaidi ya drama za kwenye magazeti, kama amefikira shughuli nyingine ya kufanya its better kwake.
 
Hivi na hii ina uhusiano wowote na uongozi wa baba ye MAGU?
:) Maana hali inaonyesha ishakuwa ngumu yaani!
 
Back
Top Bottom