Bella, msanii namba moja Tz kwa kuimba na band!

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
3,450
Nimekuwa nikioata hasira sana ninapoenda kwenye show za wasanii mbalimbali halafu ninachoambulia ni kuwa disappointed!Unakuta msanii anavyoimba mpaka wakati mwingine unajiuliza hivi ni yeye kweli aliyeimba wimbo uliousiki CD?
Kelele tu nyingi kuwachosha mashabiki!

Nilipoenda show ya bella hakika sikujutia!jamaaa noma sana!
 
Pole sana,kwa kuingia kwenye shoo za hovyo. Siku nyingine uwe unaingia kwenye shoo za maana,ukisikia DIAMOND yupo sehemu basi hizo ndio shoo za kuingia. KUMBUKA,mwanamuziki anayejua muziki wa live hata mashabiki wanao ingia kwenye shoo zake ni wengi.
 
Jay dee alikua na bendi ina maana yeye ni msanii wa ngapi kwenye list yako?banana zorro je?
 
Ila kumlinganisha bella na kiba au dai ni kuwaonea. Bella kaanzia muziki wake kwenye bendi kule kongo alitua had bend ya koffi kisha akaja akudo. Akina dai waliibuka wenyewe na kujipigania bila bendi. KICHWA CHA HABARI KIPO TOFAUTI NA ulichojibu hapa. Ndo maana nkawaweka jay dee na banana kama mfano
Mimi nimesema huyu jamaa sijaona mfano wake,Diamomd na Ally kiba bado sana kwa Bella!
 
Ila kumlinganisha bella na kiba au dai ni kuwaonea. Bella kaanzia muziki wake kwenye bendi kule kongo alitua had bend ya koffi kisha akaja akudo. Akina dai waliibuka wenyewe na kujipigania bila bendi. KICHWA CHA HABARI KIPO TOFAUTI NA ulichojibu hapa. Ndo maana nkawaweka jay dee na banana kama mfano
Nimejibu vema tu,nimesema sijaona kama Bella hapa Tanzania!Hao wengine sijui akina Jay dee na wengineo wapignie namba nyuma yake!
Kaangalie show ya Bella,utaona tofauti sana na zile na akina mondi na kiba
 
Back
Top Bottom