Baraka Da prince aumbuliwa vibaya studio na msanii aliyemuibia nyimbo

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,804
2,000

Baraka da prince aliumbuliwa vibaya kwenye studio za East Africa Radio baada ya kualikwa yeye na msanii waliyekuwa studio moja huko Mwanza, msanii huyo alisema baraka alimuibia nyimbo ya 'Baby sio fine' lakini baraka akabisha, alipozidi kubanwa akawa ana hasira na kutaka kuondoka studio
Ila msanii Mo music ambaye alikuwa na Baraka studio hiyo moja alithibitisha baraka kuwa hiyo nyimbo sio ya kwake
 
Nktlogistics

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
2,157
2,000
Dogo ana matukio mabaya mengi, kamtukana msami, suma mnazaleti, kamfukuza mdogo wake home Sinza kwake akidai dogo mwizi,. naweza kusema wenge la u superstar linamzingua mdogo wetu.
 
Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
2,397
2,000

Baraka da prince aliumbuliwa vibaya kwenye studio za East Africa Radio baada ya kualikwa yeye na msanii waliyekuwa studio moja huko Mwanza, msanii huyo alisema baraka alimuibia nyimbo ya 'Baby sio fine' lakini baraka akabisha, alipozidi kubanwa akawa ana hasira na kutaka kuondoka studio
Ila msanii Mo music ambaye alikuwa na Baraka studio hiyo moja alithibitisha baraka kuwa hiyo nyimbo sio ya kwake
huyu underground naye anatafuta kiki tu.ata
me ningesema simjui kwanini asingesema kipind hicho
 
Upiversity

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
3,526
2,000
Huyu dogo Baraka nimemuuzia msosi na sometime akifulia alikula fello unaojulikana kama ukoko pale mgahawani kwetu maeneo ya Mabatini mwanza.

Dogo sidhani kama katoka familia bora kama anavyokariri!? Na ana maqwere kibao sijui usupastaa umemzidi uzito?
....sasa na wewe mama ntilie,hizi stori zinahusiana nini na uzi;ndo tuone unamjua sana,ama?
..nyie misukuma mtaacha lini usoro!??
 
KING 360

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
2,999
2,000
Tatizo nn sasa kilichopo atoe wimbo mkali zaidi ya uwo tudhibitishe kwani aliiba na kipaji
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom