C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,735
Hii itakuwa ni series ya kila jumapili tutakuwa kila wiki tunatoa vijana wa kitanzania waliofanikiwa aidha kibiashara, au kwa kazi wanazofanya. Lengo ni kuwa support, kujua story zao wameanza anzaje ili yule, mimi, na wewe tuweze kuiga mifano toka kwao.
Kwa leo tunaanza na huyu jamaa Anayeitwa Giovani maarufu kwa jina la BIKIRA WA KISUKUMA.
Kijana huyu ni mfano wa kuigwa kwani aliona opportunity ya kimaisha kwenye simu yake ya mkononi. YES smartphone.
Kupitia MALAKI ya followers wake kupitia mtandao wa INSTAGRAM kijana huyu amekuwa akitoa elimu ya ujasiliamali jambo ambalo limekuwa ni mwanga kwa vijana wengi.
Kijana huyu kuthibitisha kuwa yeye ni mjasiliamali ameanzisha sehemu yake ya kujivinjati inaitwa THE PARLIAMENT ambapo sasa hivi ni habari ya mjini. Vile vile jamaa huyu ni mtangazaji wa E FM kipindi anachoshirikiana na LEGEND wa utangazaji nchini GARDER G.
Haya ndio machache ya BIKIRA wa kisukuma mengine ongezea wewe