Hivi Masele wa komedi ya Mizengwe yuko wapi?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,688
40,069
Habarini Wadau

Hivi huyu jamaa aliyekuwa akiigiza kama Mlevi haswaaa aliyekosa balance..! Amepotelea wapi?
 
mara ya mwisho alionekana akiwa ana oa harusi yake ilikuwa viral sana, rafiki yake bwana Mkwele alimwambia arudi wapige kaz, jamaa hadi alilia kabsa, so sku elewa labda ndio bado ako honey year then mwakan ata endelea na sanaa.
Daah kwa hyo kwenye fani harudi tena
 
Tamaa ya pesa, kipindi kile Vunja Mbavu ya channel 10 wakiwemo wakina sharobaro ilivyokuwa iking'aa wasanii wengi wa vichekesho walihamia kule, akasahau ule msemo 'usisahau mbachao kwa msala upitao'
 
KWELI JAMAA YUPO HAPA GOBA ANAPGA BODABODA KAMA MI MUONGO NJOO GOBA MWISHO MWEMBE MADOLE ULZIA BODA YEYOTE HAKIKA UMEMPATA MASELE, YUPO NA DADA MMOJA HV NAYE ALIKUWA MIZENGWE NAYE ANAISH GOBA ANA SALOON.
 
Tamaa ya pesa, kipindi kile Vunja Mbavu ya channel 10 wakiwemo wakina sharobaro ilivyokuwa iking'aa wasanii wengi wa vichekesho walihamia kule, akasahau ule msemo 'usisahau mbachao kwa msala upitao'
Pale itv wanalipwa how much?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom