Tetesi: Je, Naseeb Abdul "Diamond Platnum" kabadilisha dini?

Col FEN

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
327
460
WanaJF: Kufuatia muonekano wa picha
hapo chini nataka kujuwa kama huyu bwana mdogo Kesha badilisha Dini au ni mihemuko tu ya ujana ....???

96bb571997a11a71e91ca758ea32b415.jpg


ee964e337fe1edba7035b6c1b837ffb5.jpg


Sent from my SM-N915G using JamiiForums mobile app
 
Mwacheni kila mtu anavaa jinsi anavyopenda

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Wewe hicho unachokiona kifuani kwake unadhani ni nini?? Na kama ndivyo unavyodhani kwamba ni ishara ya dini fulani, unadhani diamond alivyovaa alikuwa na maana hiyo unayofikiria wewe??
 
WanaJF: Kufuatia muonekano wa picha
hapo chini nataka kujuwa kama huyu bwana mdogo Kesha badilisha Dini au ni mihemuko tu ya ujana ....???

96bb571997a11a71e91ca758ea32b415.jpg


ee964e337fe1edba7035b6c1b837ffb5.jpg


Sent from my SM-N915G using JamiiForums mobile app
Ila Domo mmh!
 
Sidhani kama kabadilisha dini.Symbol ya msalaba ni makhsusi kwa dini ya kikristo na ina hadhi yake.Niwaombe ndugu zangu tusifanye dhihaka na vitu hivyi vya kidini....twaweza okota makopo tukidhani tumelogwa kumbe......
 
Back
Top Bottom